Hii nchi ina vijana wajinga kweli kweli. Mtu aibe nyeti akafanyie nini. Halafu mijitu haijiulizi iweje wanume tu ndio wanaobiwa nyeti zao lakini hakuna wanawake walilolalamika kuibiwa nyeti zao mpaka sasa.
Mijitu imeshajjejengea hofu kiasi ikiguswa tu bega hata kwa bahati mbaya basi inapata hofu mshedede unarudi tumboni (ambalo ni jambo la kawaida kabisa) halafu anapiga kelele kaibiwa nyeti na wajinga wenzie wakifika hata hawaulizi wala hawa "reason" badala yake ni ushabiki tu wa kijinga wanapiga watu mpaka wanaua watu wasio na hatia. Matokeo yake watu wakimkagua mtu anyelalamika kaibiwa nyeti wanakuta nyeti yake ipo lakini imekuwa ndogo wanajuaje kama huyo mtu alikuwa na nyeti ndogo a.k.a kibamia toka mwanzo?