Kwa kuwa Chama ni cha Baba Mkwe wake, haoni ulazima wa kumkabidhi mtu wa Kuja (Lissu) kukiongozaKama kweli Mbowe anataka kulinda heshima yake na ushawishi angeachana na habari za kuendelea kuwa mwenyekiti wa hicho chama.
Ikiwa Tundulissu atakubali kumuachia Mbowe uenyekiti wa Chadema kutakuwa hakuna sababu yeye kuendelea Kuwa Chadema.
Machaguo ni mawili kukiua chama Kwa kumrudisha Mbowe au kumpatia Lissu hiyo nafasi ya uenyekiti.
Sioni sababu zozote za Muhimu za Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti.
Nani anawalipa hawa!Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Ulikuwa hujui? ππHapo ndio utajua yupo upande gani.
Maana hiyo ndio aina ya michakato upande ulee!
Sisi tulishaona siku nyingi inashangaza hadi leo bado kuwa wancdm aisee?Huu upuuzi unaondelea ni Mbowe mwenyewe anayeweza kuukomesha vinginevyo atabakia na chawa tu wenye akili wote wataondoka.
Heche yuko vizuri sana.Heche pamoja na kusoma Mlimani bado mshamba mshamba
Chadema ni chama Cha swaga ππ
Kwenye ile simulizi yoga alimtaja huyo Mwamba pamoja na Chama chake, kwamba kinatumiwa na CCM katika kufanya Siasa zake ndiyo maana vinagharamiwa na hao madon wa Chama tawalaAisee huyu jamaa atawapasua vichwa. sasa naamini Mbowe ni Agent wa CCM. rejea Simulizi ile pendwa.
Kwa kuwa Chama ni cha Baba Mkwe wake, haoni ulazima wa kumkabidhi mtu wa Kuja (Lissu) kukiongoza
Ni hakika anapoteza ushawishi wake wote alioujenga Kwa miaka yote 20 ya Uenyekiti wake
Wanapoelekea itakuwa hivyoAhhh! Inafikirisha Sana π€π€π€ kiukweli .
Kama ni hivyo ni bora tukose wote Kama Alivyofanya Maalim Seif Kwa CUF.
Kwamba hawezi kuzuia mafuriko!Haya maigizo yalifanywa na Lowasa miaka 10 iliyopita
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Ni kweli ila apumzike kwa sasa.Mbowe ni mwenyekiti mwenye maono. Ni jabali la siasa za upinzani
Mzee mgaya huyo.Leo umekuwa mkweli kwamba unaishi mtaa wa Chato,
Ipo siku utataja jina lako halisi,
Msalimie Ex DC Kasesela