Muda utasemaNi dhahiri sasa CHADEMA inaelekea kuwa kama CUF....
Sijui kama umeitumia "vema" neno "kuvamia". Kuvamia ni kwenda mahali kwa fujo na bila watu wa eneo hilo kujua, wala kutoa idhini. Sasa nikiona viti vimepangwa, waandishi wa habari wameitwa, nyimbo zinaimbwa na kuna kundi kubwa la watu, lazima kulikuwa na mpango wa kwenda hapo, na watu wa mahali hapo walikuwa na taarifa au ni wao wenyewe waliotoa mwaliko. Hivyo, huku si kuvamia, bali ni kualikwa.Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Hata wavamie haisaidii jamani. Hivi wanataka nini mm huwa siwaelewi hali hawa chademaKundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Mtandika kitanda huyo, hawezi kuja kwenye huu uzi.Hii ishakuwa ngumu, kamanda Erythrocyte tunaenda na Mbowe au Lissu ?
Je yaweza kuwa mchongo wa wale wanaempigia debe kwa manufaa wanayoyajua yamtaa ule kijani?Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Boni yai kwa matukio aisee dahKundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri πΌ
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.
View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Ameiga ung'ang'anizi wa Kanisani kwao πΌπ€£π₯Mbowe ameamua kuufunga mwaka kwa kujidhalilisha, hii ni aibu!!.
Ni dhahiri mwamba anang'ang'ania uenyekiti!.
Sana..lidesi likubwamwagito umdesi!
Mbowe vs LisuSafari bado ni ndefu nchi hii. Tuendelee kukaza mkanda π
-Kaveli-
πββοΈβοΈπ―ππππ€πππ‘οΈBaada ya miaka mingi kupita, leo Wacha na Mimi nichangie kidogo kuhusu yanayoendelea Chadema.
Ukitaka mabadiliko lazima uoneshe Nia ya kubadilika na si kuendelea kufanya mambo Yale yale. Wananchi wengi wamekatishwa tamaa na namna upinzani unavyokabiliana na serikali dhalimu ya CCM.
Kuna matukio mengi yamefanyika kutoka mwaka 2015 Mpaka leo ambayo yamerudisha nyuma Ari na morali ya wananchi kushiriki katika demokrasia na kwa kiasi kikubwa wamekata tamaa.
Mtu mmoja ambaye walau ameonesha kuwa na msimamo wa kukabiliana na hali tangu kipindi hicho kwa mtazamo wangu ni TAL. Huyu mtu hakika anaonesha wazi wazi ana Nia thabiti ya kuleta mabadiliko kwani Hana hata chembe ya hofu kwa Yale anayoamini yanaweza kuleta haki.
Nilidhani CDM wameliona hili kama sie watu ambao tupo nje ya CDM vile ambavyo tumeweza kuona. Nashangaa ndani ya CDM hawataki mabadiliko ilhali wanataka mabadiliko ndani ya nchi, hapa tunashangazwa wengi.
Haileti picha nzuri kuona TAL anapingwa wazi wazi na kuanza kuonekana kama ni mtu Baki wakati ameweka rehani uhai wake kusaidia vugu vugu la mabadiliko kupitia CDM.
Wengi tungependa ashike nafasi ya kuu pale CDM tuone namna Gani ataleta mbinu mpya za kukabiliana na CCM.
Mbowe amepata muda wa kutosha na kwa kweli mbinu zake hazijatosha kabisa kukabiliana na CCM ambao wanatumia Dola kuendelea kubaki madarakani.
CDM msichezee fursa hii tena, manalo jukumu la kuonesha Jamii kuwa mnaweza kubadilika kulingana na mazingira na kusaidia Jamii ya Tanzania ambayo imebaki bila msaada kwa ukoloni wa CCM.
Ahsante