Pre GE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni

Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao

Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼

==

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.

View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Sijui kama umeitumia "vema" neno "kuvamia". Kuvamia ni kwenda mahali kwa fujo na bila watu wa eneo hilo kujua, wala kutoa idhini. Sasa nikiona viti vimepangwa, waandishi wa habari wameitwa, nyimbo zinaimbwa na kuna kundi kubwa la watu, lazima kulikuwa na mpango wa kwenda hapo, na watu wa mahali hapo walikuwa na taarifa au ni wao wenyewe waliotoa mwaliko. Hivyo, huku si kuvamia, bali ni kualikwa.
 
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni

Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao

Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼

==

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.

View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Hata wavamie haisaidii jamani. Hivi wanataka nini mm huwa siwaelewi hali hawa chadema
 
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni

Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao

Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼

==

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.

View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Je yaweza kuwa mchongo wa wale wanaempigia debe kwa manufaa wanayoyajua yamtaa ule kijani?
 
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni

Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao

Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼

==

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe, wakimtaka achukue fomu kwaajili ya kutetea nafasi yake ya uenyekiti.

View attachment 3179505
View attachment 3179513View attachment 3179514View attachment 3179516
Boni yai kwa matukio aisee dah

Anyways mkutano wa waandishi waandishi wa habari umeitwa kwa makusudio haya
 
Cingwiyemisi wa siasa anaingia kazini sasa, mabaga fresh kazi anayo
 
Sio wanachama wa CDM bali ni genge lake alilo Liunda kwa zaidi ya miaka 20.
Lisu anapaswa awe makini sana na genge la mwenyekiti.
 
Baada ya miaka mingi kupita, leo Wacha na Mimi nichangie kidogo kuhusu yanayoendelea Chadema.

Ukitaka mabadiliko lazima uoneshe Nia ya kubadilika na si kuendelea kufanya mambo Yale yale. Wananchi wengi wamekatishwa tamaa na namna upinzani unavyokabiliana na serikali dhalimu ya CCM.

Kuna matukio mengi yamefanyika kutoka mwaka 2015 Mpaka leo ambayo yamerudisha nyuma Ari na morali ya wananchi kushiriki katika demokrasia na kwa kiasi kikubwa wamekata tamaa.

Mtu mmoja ambaye walau ameonesha kuwa na msimamo wa kukabiliana na hali tangu kipindi hicho kwa mtazamo wangu ni TAL. Huyu mtu hakika anaonesha wazi wazi ana Nia thabiti ya kuleta mabadiliko kwani Hana hata chembe ya hofu kwa Yale anayoamini yanaweza kuleta haki.

Nilidhani CDM wameliona hili kama sie watu ambao tupo nje ya CDM vile ambavyo tumeweza kuona. Nashangaa ndani ya CDM hawataki mabadiliko ilhali wanataka mabadiliko ndani ya nchi, hapa tunashangazwa wengi.

Haileti picha nzuri kuona TAL anapingwa wazi wazi na kuanza kuonekana kama ni mtu Baki wakati ameweka rehani uhai wake kusaidia vugu vugu la mabadiliko kupitia CDM.

Wengi tungependa ashike nafasi ya kuu pale CDM tuone namna Gani ataleta mbinu mpya za kukabiliana na CCM.

Mbowe amepata muda wa kutosha na kwa kweli mbinu zake hazijatosha kabisa kukabiliana na CCM ambao wanatumia Dola kuendelea kubaki madarakani.

CDM msichezee fursa hii tena, manalo jukumu la kuonesha Jamii kuwa mnaweza kubadilika kulingana na mazingira na kusaidia Jamii ya Tanzania ambayo imebaki bila msaada kwa ukoloni wa CCM.

Ahsante
🙋‍♂️✍️🎯👌👍👊🤝🙏💐🛡️
 
Back
Top Bottom