Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

Hyo syo frustration hyo ni laana. Yani yale majitu ambayo hata kijj kimeyakataa ndo utasikia yapo chadema

Naona mnakuja kwa Kasi Sana.
Acheni matusi
Wewe kikwapa...sijui kinini....
Fyi sio wote wanotukana ni chadema

Soma post yangu vizuri, some frustrated CCMers nao ndio vinara wa matusi thanks to hideous identities!
 
Mtoa mada ni maku kunuka tena unafirimbwa na wasengerema na wakundugu zako
 
NRNE
 
Deni la mama trln107
 
Matusi hutumiwa na mtu aliyeishiwa hoja na kubakia na viroja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…