Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

No reforms no election
 
Na yule KENGE aliyeko Bungeni akiwwawakilisha KENGE wenzie huku akiwatukana KENGE kumbe naye ni Mwana CDM?
 
Tangu wahuni wapewe mamlaka kwenye chama .Chama kimepoteza maadili na muelekeo kabisa
 
Matusi ndiyo njia pekee ya kuondoa Kinyesi kwenye Vichwa vya wana-CCM!



MATUSI YAENDELEEEEE!
 
Mange mtoe yule ni CCM pure na alikuja kugombea ubunge yeye na zamaradi mketema wakakatwa mwisho utasema gwajima pia ni chadema kwasababu anapinga utekaji ila katika yote hayo uliyo yataja hayajafikia utekaji.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…