M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
CHADEMA wakawateka lawyers/human rights activists kutoka SERENA Hotel wakawapeleka central then wakaenda nao chimbo kuwalawiti na kuwarekodi baadaye wakawatupa Horohoro na Mutukula respectively, that hits hard. Vilevile basi Chura Kiziwi ndiyo anawalinda kwani SERENA kuna CCTV cameras wahusika wote footages zao zipo ila wanalindwa.Hayo mambo Dr slaa alishasema
No Reform No ElectionChama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Kuliko CCM wauajiChadema kimejaa wafuasi wa hovyo sana
Na yule KENGE aliyeko Bungeni akiwwawakilisha KENGE wenzie huku akiwatukana KENGE kumbe naye ni Mwana CDM?
No Reform No Election"Wafuasi wa Chadema matusi hayatowasaidia"View attachment 3368112
Hii ndio kauli inayotakiwa kupewa kipaumbele na wazalendo wote na wanaoitakia Tanganyika mema.No Reform No Election
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Mkuu, kwani hao ndio viongozi wa Chama? Maana kati ya hao uliowataja simuoni kiongozi, hata wa ngazi ya Msingi!CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Tuwauwe wote kama tulivyofanya kwa mzee KIBAO ili watu wote waanze kumsifia RAISI SAMIA kwa jitihada zake kubwa za KUUA, KUTESA NA KUTEKA WATU au siyo ???Kwa hayo matusi hebu jiulizeni wenyewe huko chadema unajua chadema mna kauli za hovyo sana
OKTOBA TUNA ✔️CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Mbona huyo mama yenu naye ni bingwa wa matusi?CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Hapo kwenye red unamaanisha nini?CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Umenikumbusha hadithi ya chama cha watekaji na wapotezaji watu kwasasa kinabaka na kulawiti wanao watekaCHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Read between linesUmebakwa wewe! Lete uthibitisho wa daktar