the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Hali si shwari katika viwanja vya mahakama ya kisutu hapa getin wandamanaji wa chadema na mabango yao wamekula SMASH za kutosha ila sikuona maana ya kuwakamata kwa maana ni maandamano yasiyokuwa na fujo hapo wengine wameshakula nduki na wanakimbizwa.