Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Leo sijamsikia akikataza maandamano ya kesho, people power inaanza kumzidi
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.

tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo. Sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
 
Back
Top Bottom