Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

Wafuasi wa CHADEMA walioandamana mitaa ya Mahakama ya Kisutu wadhibitiwa na polisi

..anasema Polisi huwa hawabambikii kesi.

..Je, Mdude Nyagali hakubambikiwa?

..Joseph Mbilinyi na mwenzake kule Mbeya?

..Peter Lijualikali hakufungwa kwa mashtaka ya kubambika?

..Godbless Lema alivyowekwa mahabusu miezi kadhaa kinyume cha sheria?

..Ongezea na Mbowe, Msigwa, Mdee, Mnyika, Salum Mwalimu, na wengine, walivyobambikwa kesi ya kumuua Akwilina.

..Pia kuna dereva aliyedaiwa kumteka MO Dewji.
 
..anasema Polisi huwa hawabambikii kesi.

..Je, Mdude Nyagali hakubambikiwa?...
Trafiki wenyewe wanabambikia watu kesi kila siku, wakikukamata anaweza kukukomalia sijui tairi kipara au anakuuliza tu unajua kosa lako, na ukizubaa unaadhibiwa kwa kupigwa faini🤣🤸🐒
 
AI-ji-pi la ovyo kabisa hili kuwahi kuliona katika maisha yangu..

Wee ngoja siku akirudi nyumbani akakuta wanae au Ndugu zake wamekatwa shingo asije akalaumu..

Watanzania wanaelekea kwenye ukomo wa kuchoka na manyanyaso ya polisi na watawala..

Chuki za Wananchi dhidi ya watawala imekuwa kubwa na vifua vya watu vimevimba kwa hasira kutokana na mateso kutoka kwa polisi na watawala..

Pumbavu sana.
 
Sirro anatumika kama tissue paper. Tissue paper inaweza kutumika kufutia jasho ama kuchambia.
 
Kwamba umeingia na simu gerezani?
Ha haaa ..😅
Huyu kamanda brazaj anasakizia wenzie kwenye wavu na wenyewe wanaingia kichwa kichwa kama msako wa ndezi.

Kisha yeye anatulia home anakula msosi safi anaingia tena mitandaoni kusakizia ndezi wengine huku yeye labda akipata chochote kwa kazi hii.. who knows?
 
Labda mabadiliko unayoyaona wewe ni hao walioko Ukonga kubebeshwa Mimba na Wababe wa Rumande. Fanyakazi za Kipato chako kwa bidii iinue familia yako otherwise acha kutumika vibaya wewe nyumbu.
Kumbe huna kitu kabisa kichwani! Sina muda wa kupoteza na wapuuzi kama wewe.
 
Ha haaa ..😅
Huyu kamanda brazaj anasakizia wenzie kwenye wavu na wenyewe wanaingia kichwa kichwa kama msako wa ndezi.

Kisha yeye anatulia home anakula msosi safi anaingia tena mitandaoni kusakizia ndezi wengine huku yeye labda akipata chochote kwa kazi hii.. who knows?

Kwenye hizo hadithi za kina Sirro na mijitu isiyojulikana tulishatoka huko na sasa macho yetu tumekodoa kwa mkoloni mweusi.

Kwenu enyi wakoloni weusi popote mlipo salamu hizi na ziwafikie "ni ama zetu ama zenu."

Habari ndiyo hiyo. Umesikia ewe mkoloni mweusi?
 
Mimi binafsi sielewi kabisa kwanini alisimama na kuongea Yale lakini, lakini nilichoelewa ni kwamba alisimama mbele ya umma ili atishie haya maandamano ambayo yamefanyika leo
Unajua Mungu1ni wa ajabu sana. Huwaondolea maarifa mafisadi na maonezi. Pale aliongea kama ngumbaru let alone na kale ka LLB. ANAKORINGIAGA
 
Habari zenu ndugu zangu. Wengi tulisema jana na juzi kuwa hakuna kiongozi hata mmoja atakaekuwa tayari kuweka maisha yake hatarini kwa ajili ya maisha ya mungine, baadhi ya nyumbu wakapinga. Sasa leo ndo mmeamini wenyewe kuwa "kika kila mchuma janga hula na wa kwao". Kama Mbowe amesuswa na vijana wake mwenyewe, sipati picha kwa wale wenzangu na mimi waliopoteza muda wao, na pesa zao kuingia katika mambo au maandamano yasiowahusu. Ni nani atawapigania ili watoke!!!

Siku zote maandamano wanao pelekwa mbele ni raia viongoz husika wako majumban mwao
 
Ha haaa ..[emoji28]
Huyu kamanda brazaj anasakizia wenzie kwenye wavu na wenyewe wanaingia kichwa kichwa kama msako wa ndezi.

Kisha yeye anatulia home anakula msosi safi anaingia tena mitandaoni kusakizia ndezi wengine huku yeye labda akipata chochote kwa kazi hii.. who knows?

Ni ndezi huyo[emoji1787]
 
Back
Top Bottom