kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kakanyagwe kusini mwa mwili wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko online utopia?HIZO CHACHE NENDA TWITTER..
mataga huyo hawezi kutulia
Mbona hakuna nyomi?
tuliambiwa jiji litasimama leo
wale wa mikoani vipiii
Yaani acha tu kiongozi.....inaaminika kuwa binadamu ni kiumbe mwenye akili sana. Hii ni kweli lkn nawaambia ukiwa na maarifa ya kuichezea akili hiyo nzuri ya binadamu, ni kiumbe mmoja mdhaifu na mpumbavu sana!Wajinga ndio waliwao! Wenzenu wako kwenye Soffa wanadinya Mvinyo, Nyama, wakiwa kwenye Luninga kuubwa curved na Laptop mapajani wakiandika Proposals za kuombea Madolali waendelee kuishi Kidon.
Vikaragosi wachaaaache wasiojua kula yao wanahangaika na maandamano ya kipuuzi. Shithole Demos
Polosi mnawachekea hawa wahuni, watieni adabu ili iwe fundisho kwa wengine, hawato rudia tena.
mchelea mwana hulia mwenyewe.
Riziki ya mtu mwingine inakuhusu nini wewe mwenye akili?Ila wamezingua badala mtu atafute rizq yeye anaandamana
hao ndio wajinga kweli.Ila wamezingua badala mtu atafute rizq yeye anaandamana
hao ndio wajinga kweli.
unakuta mtoto wa mbowe na familia yake mida hii wamekaa kwenye sofa wanaangalia tv wewe mlala hoi Zuzu unachezea kichapo na kuishia mahabusu.
akili ndogo sana , wanatumiwa bila kujitambua, wamejazwa upepo, hapo huwezi kumkuta mke wa Myika wala mke wa mrema,
kuweni na akili acheni kutumiwa.
Riziki ya mtu mwingine nini wewe mwenye akili?
Kwani Kuna aliekufa hapo?Ngumu kuchangia wakati umeonesha ushabiki wako wa kufurahia mauaji.
Hapo utakuta ww ukiambiwa ukajiunge nao na uhakika utakata utakimbia lkn huku mtandaoni unaleta ujuaji mm sina chama chochote ila mm nipo kweny haki pale panapostahili leo hii unakamatwa upo sero ww unafkr utamlaum nan!?
ThubutuuuMbona hakuna nyomi?
tuliambiwa jiji litasimama leo
wale wa mikoani vipiii
Au waandamane hukohuko walipo?Thubutuuu
Hawana cha kufanya mkuuWajinga ndio waliwao! Wenzenu wako kwenye Soffa wanadinya Mvinyo, Nyama, wakiwa kwenye Luninga kuubwa curved na Laptop mapajani wakiandika Proposals za kuombea Madolali waendelee kuishi Kidon.
Vikaragosi wachaaaache wasiojua kula yao wanahangaika na maandamano ya kipuuzi. Shithole Demos
Kwanini kiroho safi usitambue kuwa hayupo anayeyahitaji mawazo yako yaliyojaa utopolo mtupu?
Kwan vipi nnshida!!! mbona hasira asubh yote hii kwanza ushapata chai au ndio unabwabwaja tu usitafute majibizano mm siwez kubishana kwajil ya kitu kisichokuwa na manufaa kwangu ww km unauchungu nenda kapeleke hiyo pua sas mm ndio police niliowakamata!!tumia akili leta coment zenye impact na sio upuuz
Nenda kachanje wewe, wameshaanza kugawa chanjo hukoWingi wetu na umoja wetu ndiyo ngao na silaha yetu kuu.
Waandae magereza zaidi.