Kwa sababu ni wapinga kristo kama yalivyo madhehebu yote ulimwenguniKwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Papa ana ulinzi mkali kwa sababu haamini katika ulinzi wa Mungu anayemhubiri😛😛😛😛Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Ni raisi wa Vatican city kavaa ngozi ya mwanakondooKwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Wewe toto kweli. Yeye aliambwa msalabani na hakuzuia.Kwa nini Yesu Asizuie hiyo risasi?
Ni kweli mwanangu. Una akili sana. Ila umesahau kuweka na wale wanaokwenda mahali kubusu na kusujudia jiwe.We watu wanachonga sanamu kwa mikono yao alafu wanalipigia magoti kuliomba baraka, toba na ulinzi, unafikiri Papa ni mjinga ategemee ulinzi wa sanamu , hapo lazima awatafute KK security wa Vatcan
Papa ni Rais wa Nchi yenye ukubwa wa heka 44 kama shamba la mpungaNi Kiongozi wa nchi
Kwani Zanzibar ni nchi ndani ya nini? 😂😂Nchi ndani ya nchi?
VaticanNchi gani?