Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Mtumishi wa MbinguniMbinguni Au mbuguni?
Mbinguni Au mbuguni?
Mtumishi wa MbinguniMbinguni Au mbuguni?
Mbinguni Au mbuguni?
Nadhani ni mbugani kama siyo mbwangani 😀 😀 😀 😀 😀Mtumishi wa Mbinguni
Hata Lesotho iko ndani ya South Africa.Vatican si iko Italy, kwa hiyo ni nchi ndani ya nchi?
Swali la kijinga!Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.