Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,587
- 14,371
swali la kijinga kutoka kwa mtu mjingaKwa nini Yesu Asizuie hiyo risasi?
swali la kijinga kutoka kwa mtu mjingaKwa nini Yesu Asizuie hiyo risasi?
na wewe uliecoment swali lakijinga nawe mjingaswali la kijinga kutoka kwa mtu mjinga
na mwisho nimeamua kumpuuza mjingana wewe uliecoment swali lakijinga nawe mjinga
Wa
Wanalinda msafara wa papa ama ulinzi wa eneo la vatcan? Kama umefatilia nyuma hapa askari wa italy walikuwa na order yakuwatoa ombaomba vatcan papa akakataa akasema lazma wasaidiwe watafute utaratibu.
Unashangaa ya Vatican ? Fuatilia San Marino, Monaco, Luxembourg, Leinchestein n.kVatican si iko Italy, kwa hiyo ni nchi ndani ya nchi?
Elezea vizuri hii km inakuja halafu inakataa..!!Papa John Paul II alinusurika kuuwawa mwaka 1981, alipigwa risasi alipokuwa anatoa mahubiri.
Kwa hiyo ulinzi muhimu.
Mbona ayatollah Khomeini ana ulinzi mkali sana??Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Kwa sababu anahitaji ulinzi. Na kwa sababu kuna maadui wa kila namna duniani hapa.Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Kama kiboko ya wachawi tu alikuwa na walinzi gwajima ana walinzi Geodavie ana walinzi then papa akoswe ulinzi seriously?Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
😹😹😹 hebu tufafanulie vizuri mkuu..!!Mtu yeyote anae pewa cheo cha upapa katika dini ya romani Katoliki ni geresha tu. Papa katika hii dunia ni kiongozi mkubwa sana huko kwenye dini amejificha tu. Mpaka kuchaguliwa kuwa papa sio kazi rahisi, nashangaa sana wanao hisi papa ajae atatoka Afrika.
Wengi ni mambumbu,hawajui kuwa Papa ana Hadi kiti pale UNMtu yeyote anae pewa cheo cha upapa katika dini ya romani Katoliki ni geresha tu. Papa katika hii dunia ni kiongozi mkubwa sana huko kwenye dini amejificha tu. Mpaka kuchaguliwa kuwa papa sio kazi rahisi, nashangaa sana wanao hisi papa ajae atatoka Afrika.
Mbona Rwanda inaukubwa wa wilaya ya kalambo RUKWA ila ni nchi ina rais wake jeshi kwa nini usiite wilaya au mkoa?Tangu lini Rais akaongoza nchi yenye ukubwa sawa na viwanja 60 vya mpira huyo si ni mwenyekiti wa kitongoji
😂😂😂😂😂 hii haina come backNi kweli mwanangu. Una akili sana. Ila umesahau kuweka na wale wanaokwenda mahali kubusu na kusujudia jiwe.
Kwa hiyo vigezo ni vipi kama umekataa yeye kuongoza nchi yenye ukubwa huko? Kama Kuna nyaraka yenye kusema nchi inatakiwa kuwa na ukubwa kiasi Fulani ,iweke mezani ijadiliwe kwa hojaTangu lini Rais akaongoza nchi yenye ukubwa sawa na viwanja 60 vya mpira huyo si ni mwenyekiti wa kitongoji
Kwa hiyo lazima watoke nchi ya uswis?Walinzi wa Vatican wanatokea Uswisi na huitwa Swiss Guard
Mbona hata biblia imeeleza hilo Vatican ni nchi ndani ya nchi,ni kadogo lakini kana nguvu sanaVatican si iko Italy, kwa hiyo ni nchi ndani ya nchi?
Lesotho ipo ndani ya South Africa.Vatican si iko Italy, kwa hiyo ni nchi ndani ya nchi?