Yesu hayupo.Kwa nini Yesu Asizuie hiyo risasi?
Umesahau wanarushaga mawe mlimani kumpiga shetani,Ni kweli mwanangu. Una akili sana. Ila umesahau kuweka na wale wanaokwenda mahali kubusu na kusujudia jiwe.
NdioVatican si iko Italy, kwa hiyo ni nchi ndani ya nchi?
Unakumbukua Papa St John alivyopigwa risasi 32 na mhuni mmoja kutoa mashariki ya Kati..??Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Hayo maswali waulize akina Mwamposa, Gwajima maana nao wana walinziKwa nini Yesu Asizuie hiyo risasi?
Chanzo Papa Poul alipigwa.risasi.Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Labda useme unatania. Lakini Vatican City State au Holy See ina ukubwa hekali 121.Papa ni Rais wa Nchi yenye ukubwa wa heka 44 kama shamba la mpunga
Asante kwa taarifaPapa ni Rais wa Nchi yenye ukubwa wa heka 44 kama shamba la mpunga
Hilo sijui ngoja wajuzi wajeKwa hiyo serikali ya Italia haingilii masuala ya Vatican?
Baba Mtakatifu ana ulinzi mkali kwa sababu hii kuu:Kwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Hekali ndo nini? Heka 121 watoe wapi dogo? Au umedanganywa na padreLabda useme unatania. Lakini Vatican City State au Holy See ina ukubwa hekali 121.
Vatican ina mamlaka rasmi kama nchi., papa ndie raisi wake.Nchi ndani ya nchi?