Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Tangu lini Rais akaongoza nchi yenye ukubwa sawa na viwanja 60 vya mpira huyo si ni mwenyekiti wa kitongojiAsante kwa taarifa
Tangu lini Rais akaongoza nchi yenye ukubwa sawa na viwanja 60 vya mpira huyo si ni mwenyekiti wa kitongojiAsante kwa taarifa
Why pole is having high security?Kabla ya hapo hawakuwa na ulinzi?
Papa aliyetoka Afrika ni Papa wemba tu ndio tunaye.Mtu yeyote anae pewa cheo cha upapa katika dini ya romani Katoliki ni geresha tu. Papa katika hii dunia ni kiongozi mkubwa sana huko kwenye dini amejificha tu. Mpaka kuchaguliwa kuwa papa sio kazi rahisi, nashangaa sana wanao hisi papa ajae atatoka Afrika.
Nikuulize wewe hiyo umeitoa wapi?Kuna dini gani?
Mbinguni Au mbuguni?Ni Rais wa nchi ya Vatican, ana kofia mbili duniani na mbinguni
Haa Taratibu MkuuPapa ni Rais wa Nchi yenye ukubwa wa heka 44 kama shamba la mpunga
Ina ingilia kuprovide ulinzi na huduma kadhaa za kijamii ila kutokana na maelekezo ya ndani ya vatcan ni kama Tanzania na Zanzbar, yaan vatican inakua nchi kwa aina ya utendaji…mfano zanzibar kuwa na timu yake ya taifa.Kwa hiyo serikali ya Italia haingilii masuala ya Vatican?
Mungu amekupa akili ili uitumie hata pale unapohisi hatari.
Huwezi ukamuona nyoka barabarani na ukataka kumruka kwamba Mungu atanikoa.
Nini maana ya kukupa macho, nini maana ya kukupa akili kama unashindwa kuitumia.
Ni maoni yangu tu.
i. Papa ni raisi wa nchi
ii. Huko nyuma maraisi walitembea tu wenyewe kwa uhuru bila ulinzi hadi ilipotokea maraisi kadhaa walipopatwa madhira ikiwemo kuuawa. kutokea hapo kumekuwa na ulinzi mkali sio tu kwa raisi lakini hata kiongozi mwingine yoyote mkubwa.
Ina ingilia kuprovide ulinzi na huduma kadhaa za kijamii ila kutokana na maelekezo ya ndani ya vatcan ni kama Tanzania na Zanzbar, yaan vatican inakua nchi kwa aina ya utendaji…mfano zanzibar kuwa na timu yake ya taifa.
Ni kiongozi wa moja ya taasis kubwa sana duanian , lakin hiyo taasis pia ina influence juu ya maamuzi ya dunia. Thats ulinziKwanza poleni kwa kupata msiba mkubwa kwa Papa wenu.
Toka mauti yalipo mkuta Papa Francis nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana masuala ya u Papa. Nimekuja kugundua hawa ma Papa huwa wana ulinzi mkali sana.
Swali langu ni kuwa "kwa nini Papa huwa ana ulinzi mkali sana"?
Kwa yeyote anae fahamu naomba anifahamishe tafadhali.
Wanalinda msafara wa papa ama ulinzi wa eneo la vatcan? Kama umefatilia nyuma hapa askari wa italy walikuwa na order yakuwatoa ombaomba vatcan papa akakataa akasema lazma wasaidiwe watafute utaratibu.Walinzi wa Vatican wanatokea Uswisi na huitwa Swiss Guard
Huelewi maana ya sanamu kwani wanaokufundisha dini hawana degree katika teolojia na falsafaWe watu wanachonga sanamu kwa mikono yao alafu wanalipigia magoti kuliomba baraka, toba na ulinzi, unafikiri Papa ni mjinga ategemee ulinzi wa sanamu , hapo lazima awatafute Suma Jkt guard wa Vatcan
Wewe umeona wapi ? Ndio kwanza nakusikia wewe.Hawa wanao jiita Roman catholic inamaana sio dini?