Wafuasi wa Lissu mnacho mfanyia shujaa wenu sio vizuri

Wafuasi wa Lissu mnacho mfanyia shujaa wenu sio vizuri

Mbona kitambo sana sisi wafuasi wake tunaandamana kila siku huku mitandaoni na kwenye page za mataifa ili kushinikiza Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi 😂
 
Hakuna kumwaga damu. Siku ya kupiga kura ndio nzuri twaisubiri. nayo sio kuandamna, bali kupumzika home habariyake mtaipata
 
kuna hawa,
angekuwa mke wangu tungekuwa mahakamani tunapeana talaka
 
Back
Top Bottom