Kaka hakuna ulevi mbaya kama Ulevi wa Madaraka.
Kwa wapenda Amani hatulichukulii kawaida shwala la chadema na serikali.
Yale yanayotokea Kule congo yalianza hivi hivi viongozi kutokuwa na maridhiano viburi na ulevi wa Madaraka unapelekea wananchi kuteseka kama wakimbizi kwenye nchi yao.
Mimi kama mwananchi mpenda Amani Namshauri Rais wetu dkt Samia awe na Sikio Pana la kusukiliza kelele za wachache.
Mwalimu Mzee wetu mwaka wa 90 Aliporidhia Mfumo wa vyama vingi hakuwa mjinga.
Nakumbuka Alipingwa sana na Wanaccm wenzake juu ya uamuzi ule.
Lakini yeye Alisema. Sauti ya wachache Ina pasa kuzingatiwa pia kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi na ccm yenyewe.
Hivyo ni wito wangu kwa Mh Rais wetu Akazingatia Utaifa na Mustakabali wa Amani ya nchi yetu.
Chama chetu cha Mapinduzi kisiogope maridhiano kina ogopa Nini Mabadiliko wakati kimefanya kazi nzuri?
Kuwepo na Uwanja sawa na hasa kwenye Yale yanayolalamikiwa na wananchi tutaamua uzuri chama cha Mapinduzi kina mengi mazuri ya kuonyesha kwa wananchi na wakakichagua bila Makando kando yanayolalamikiwa na vyama shindani.