Wafuasi wa Mange kimambi hawana akili timamu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi.

Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano Kigogo. Kigogo anatumia umbumbu wa Watanzania wengi kutengeneza maudhui ya uongo (uzushi) ili kutengeneza pesa.

Kigogo alimpinga Magufuli mpaka umauti akapata Wafuasi wengi. Leo kigogo ni team Magufuli, anamwita shujaa anaendelea kupata Wafuasi.

Ameshajua vichwa vya Wafuasi wake.

Mange yeye anpinga kila jambo, hata vijana wa JWTZ waliomaliza kozi majuzi takribani 4000 Mange anapinga , anasema ni uongo hakuna aliyeajiriwa .

wabandike majina kama kweli.
Huyu dada anaongea vitu vya kitahira kabisa lakini Wafuasi wake wanamwamini.

Ofisi za umma zinapokea watumishi wapyq mara kwa mara yeye anasema Samia hana hela ya kuajiri.

Yaani serikali ifuate process zote za kuajiri halafu wabandike majina kumridhisha Mange 😭😭😭
Huyu dada kuharibu akili za vijana akirudishwa nchi anyongwe national stadium.

Vijana sasa kila taarifa ya serikali hata kama ina manufaa kwao wanaipokea negative kwasababu ya akili kuharibiwa na MANGE.

Zahanati mpya zina watumishi, vituo vya aya vipya vina watumishi, mpaka vituo vipya vya jeshi la zimamoto na uokoaji kuna watumishi, kama serikali ingekuwa inaajiri hewa hawa watumishi wanatoka wapi?

Mange ndiye alisema Tanzania ina police wachache na vijana wakaamini wakaanza kupambana na police wao muda mfupi tu watu wakaanza kulia kila mtu police wabaya. Si mliambiwa wako wachache sana mtawashinda kwanini mnalia?
 
Ni sawa tu na Samia si anatumia upumbavu wenu kuendelea kutawala tu.Sioni shida yoyote hapa.

Usingekuwa upumbavu wenu mgekuwa mshajua kwamba taifa lenu linaelekea shimoni kazeni sasa hayo mafuvu yenu sijui atakuja kukutoa nani huko shimoni.

Andika hili kwenye kumbukumbu zako.Mkizidi miaka 3 kuanzia sasa taifa lenu halijazama shimoni nitafute ntakwambia kweli huyo bibi anatosha
 
Tumia ID ya jina lako halisi, ili samuya akukumbuke kwenye Pdf la wakuu wa wilaya.
 
Mange ana taarifa nyingi kuliko wewe chawa, ameongelea ufiradi mkubwa ulioko kwa sasa ana tofauti gani na Shabiby wa Gairo aliyeamua kujilipua hadharani kuongelea ufisadi uliotamalaki ? Mange anakiri wazi kuwa ilikuwa vigumu kupambana na Magu kwa sababu alikuwa na nguvu kubwa ya watanzania nyuma yake tofauti na huyu Kahaba Chura wa sasa.
 
U
Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi.

Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano Kigogo. Kigogo anatumia umbumbu wa Watanzania wengi kutengeneza maudhui ya uongo (uzushi) ili kutengeneza pesa.

Kigogo alimpinga Magufuli mpaka umauti akapata Wafuasi wengi. Leo kigogo ni team Magufuli, anamwita shujaa anaendelea kupata Wafuasi.

Ameshajua vichwa vya Wafuasi wake.

Mange yeye anpinga kila jambo, hata vijana wa JWTZ waliomaliza kozi majuzi takribani 4000 Mange anapinga , anasema ni uongo hakuna aliyeajiriwa .

wabandike majina kama kweli.
Huyu dada anaongea vitu vya kitahira kabisa lakini Wafuasi wake wanamwamini.

Ofisi za umma zinapokea watumishi wapyq mara kwa mara yeye anasema Samia hana hela ya kuajiri.

Yaani serikali ifuate process zote za kuajiri halafu wabandike majina kumridhisha Mange 😭😭😭
Huyu dada kuharibu akili za vijana akirudishwa nchi anyongwe national stadium.

Vijana sasa kila taarifa ya serikali hata kama ina manufaa kwao wanaipokea negative kwasababu ya akili kuharibiwa na MANGE.

Zahanati mpya zina watumishi, vituo vya aya vipya vina watumishi, mpaka vituo vipya vya jeshi la zimamoto na uokoaji kuna watumishi, kama serikali ingekuwa inaajiri hewa hawa watumishi wanatoka wapi?

Mange ndiye alisema Tanzania ina police wachache na vijana wakaamini wakaanza kupambana na police wao muda mfupi tu watu wakaanza kulia kila mtu police wabaya. Si mliambiwa wako wachache sana mtawashinda kwanini mnalia?
Chawa unajitia kidole alafu unanusa
 
Kwani Da Mange anapatikana wapi siku hizi? Sijamuona kitambo jiji la Insta
 
View: https://youtu.be/9WkYK-SjJtE?si=P7UbtdBRE-j6b9d2
 
Back
Top Bottom