Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.
Litakuwa jambo la kusikitisha, kuliko kushangaza ikitokea kwamba Lissu karopok a tu juu ya jambo la namna hii.
Ikibainika kuwa hivyo ndivyo, atakuwa ameweka uharibifu mkubwa sana kwake binafsi na kwa chama chake.

Hata sioni kabisa faida inayoweza kutokana na habari ya aina hii, kama ni ya kutungwa tu.

Na kwa upande wa pili, ikibainika kwamba kuna ukweli ndani ya habari hii, Magufuli atakuwa ameweka historia mbaya sana ndani ya nchi hii. Hata habari za hii miradi mikubwa inayoendelea, na uigizaji wake wa "uzalendo na kuwajali wanyonge" yatakuwa hayana maana kubwa tena katika 'legacy' yake ndogo aliyokuwa amabaki nayo.

Na kwa upande wa Samia, sasa ndiyo tutajua kwamba kumbe na yeye anatembelea mlemle, kwa kujua yanayoweza kutendwa na mwenye madaraka makubwa kama yeye ndani ya nchi.
Huu mkataba wa Bandari utakuwa ndiyo chanzo cha kufanya yaleyale yaliyofanywa na mtangulizi wake.

Hivi Dotto yuko wapi siku hizi. Kama Samia alijua alishiriki kufanya haya, halafu asimguse kabisa, hicho ni kielelezo tosha kwa ushiriki wa Samia katika mambo haya.
 
Kwa hiyo Lissu kazi yake kutumika na makundi ya Ccm ...kupewa mabomu kulipua?wakimaliza kumtumia wanamfanyaje??
Mbona umesahau kwamba atakuwa kishawamaliza wote; kwa nini hilo haliingii akilini mwako?
 
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa…

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
Mkuu umeshinda njaa?? Mbona hueleweki?
 
Litakuwa jambo la kusikitisha, kuliko kushangaza ikitokea kwamba Lissu karopok a tu juu ya jambo la namna hii.
Ikibainika kuwa hivyo ndivyo, atakuwa ameweka uharibifu mkubwa sana kwake binafsi na kwa chama chake.

Hata sioni kabisa faida inayoweza kutokana na habari ya aina hii, kama ni ya kutungwa tu.

Na kwa upande wa pili, ikibainika kwamba kuna ukweli ndani ya habari hii, Magufuli atakuwa ameweka historia mbaya sana ndani ya nchi hii. Hata habari za hii miradi mikubwa inayoendelea, na uigizaji wake wa "uzalendo na kuwajali wanyonge" yatakuwa hayana maana kubwa tena katika 'legacy' yake ndogo aliyokuwa amabaki nayo.

Na kwa upande wa Samia, sasa ndiyo tutajua kwamba kumbe na yeye anatembelea mlemle, kwa kujua yanayoweza kutendwa na mwenye madaraka makubwa kama yeye ndani ya nchi.
Huu mkataba wa Bandari utakuwa ndiyo chanzo cha kufanya yaleyale yaliyofanywa na mtangulizi wake.

Hivi Dotto yuko wapi siku hizi. Kama Samia alijua alishiriki kufanya haya, halafu asimguse kabisa, hicho ni kielelezo tosha kwa ushiriki wa Samia katika mambo haya.
Nakumbuka Mama bungeni alisema BOT wafanye ukaguzi

Je hii ni sehemu ya ripoti?
 
Wenye nchi wamevujisha siri za jiwe ili kuivuruga sukuma gang.

Na sukuma gang wamemtumia mwanafunzi wa Nganza Sec kuangamiza Samia gang.
Sisi wanyonge tushika jembe tukalime. vita ya matajiri wa Ccm haituhusu
 
Mkuu ulienda Chato ukaona jinsi watu walivyouawa Rubondo ? Magufuli hana wala hajawahi kuwa na wafuasi , ni porojo za Mataga .

2014 wakati wa Uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA ilishinda vijiji vyote kikiwemo kijiji alichokuwa anaishi Magufuli , wakati huo akiwa Waziri mwandamizi , kuungwa mkono kaanza lini ?
Mimi ninawakumbuka "Husna wa Chato", sijui huyu binti aliishia wapi ndani ya CHAADEMA.
Halafu nawakumbuka wale akina mama wa CHADEMA waliowateka wenzao wa UWT kwenye kusherehekea siku yao, ndipo nikajua kwamba Magufuli hakuwa na nguvu zozote Chato.
 
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).

Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.

Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.

Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.

Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.

Muda utathibitisha.
Lisu kasema nini? Funguka?
 
Hapo mchezo unakuwa rahisi sana. Lissu kuna documents anapaswa kuzipokea ila hizo vita asikubali kuzipigana sio yake maana yake ilishaisha na akasema amemsamehe.
Nina hofu sana Lissu asije kuwa anaingizwa chakani na hawa watu wa CCM.
Wakifanikiwa kumpeleka chakani watakuwa wamefanikiwa sana kufubisha spidi ya CHADEMA kukibomoa hicho chama cha majambazi.
Haya majamaa yatakuwa yamecheza kete ya kipekee kabisa.
 
Kwa vile wanajua ni mropokaji wakamjaza, akajaa kwenye 18 zao..sasa kajitia oil chafu jamaa wanagongesha cheers..

Suala la bandari angewaachia tu kina mwabukusi ambao sio wanasiasa..tatizo wanasiasa wa aina ya lissu wanapenda kudakia kila hoja kisha wanaishia kupoteza focus.

Kama mimi nimeishia hapa kumsikiliza..nadhani akili yake imeshachoka sasa..
 
Mkuu ulienda Chato ukaona jinsi watu walivyouawa Rubondo ? Magufuli hana wala hajawahi kuwa na wafuasi , ni porojo za Mataga .

2014 wakati wa Uchaguzi wa serikali za mitaa CHADEMA ilishinda vijiji vyote kikiwemo kijiji alichokuwa anaishi Magufuli , wakati huo akiwa Waziri mwandamizi , kuungwa mkono kaanza lini ?
Hivi vichekesho vinapatikana ufipa tu.
 
kwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa…

Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …
Aliyeelewa anisa8doe tafadhali?!! Mi naona kichina tu!
 
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).

Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.

Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.

Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.

Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.

Muda utathibitisha.
We katafute hata akili za kuazima, si kwa upuuzi huu uliouandika
 
Sidhani kama Lissu anautaka uraisi. Sio kwa kuropoka hukwo.
 
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).

Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.

Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.

Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.

Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.

Muda utathibitisha.
Siri ipi mojawapo?
 
Kwa vile wanajua ni mropokaji wakamjaza, akajaa kwenye 18 zao..sasa kajitia oil chafu jamaa wanagongesha cheers..

Suala la bandari angewaachia tu kina mwabukusi ambao sio wanasiasa..tatizo wanasiasa wa aina ya lissu wanapenda kudakia kila hoja kisha wanaishia kupoteza focus.

Kama mimi nimeishia hapa kumsikiliza..nadhani akili yake imeshachoka sasa..
Lissu angekuwa mropokaji angekutwa na hatia kwenye kesi nyingi sana.
 
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).

Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.

Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.

Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).

Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.

Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.

Muda utathibitisha.
Sasa mama awashughulikie si walikwiba mapesa ya plea bargain na Yale waliyokwapua BoT? Na haya ya Rais wa Wanyonge kuficha mabilioni nyumbani kwake?

Sisi ni Wazalendo tunajali Wanyonge wametuchelesha sana ndugu zangu tunajenga Sgr 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom