Wafuatao kama vile nawaona wakijinoa kulamba milioni tano za Maxence Melo

Wafuatao kama vile nawaona wakijinoa kulamba milioni tano za Maxence Melo

Wakuu hii ishu nimeipokea kwa furaha sana. Jana usiku sijalala usiku kucha nawaza niwajie na idea gani katika shindano letu.

Ila tambueni sisi na wafuatao sio wajinga tutakuja na ID nyingine coz hapa jukwaani tuna ma haters so kwenye kura panaweza pakawa sio Shwari...

Wafuatao najua tuko pamoja tunashiriki na tutapiga zawadi na dunia nzima itajua.

1. Infantry soldier - ndo maana katuaga kidizaini sio mchezo mjipange kumshinda
2. Paschal Mayalla - huyu jamaa naye ni mkali na anajua mengi sana sijui atakosaje
3. Sky eclat - imeisha hio lazima ajipange apambanie kombe
4. Ndege JOHN - huyu kuanzia Leo kwa siku 60 anaanza kusali kwa bidii mwenyezi Mungu amfanye kuwa genius sana apatiwe maono
Nasema hiviiii USITUTISHEE
 

Wanaoulizia shindano hilo hapo.....
 
Back
Top Bottom