GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.
Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.