Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 3 - 1 Simba
Unatuchafulia jukwaa kwa kuleta mambo ya ushirikina.Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiuswahili ) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji Tegemeo na Mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa Kimkakati ( Kiutamaduni ) hivyo hana / hatokuwa na Madhara Kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa Tishio na Madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata Yeye pia Keshafanyiwa Mambo ya Kiuswahili / Kiutamaduni na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa Kizingatiwe mno na sana na Watu wa Simba SC walio karibu na Timu kwani GENTAMYCINE nimeamua Kuvaa Mabomu, Kujilipua na Kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya Uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea Kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope Yanga SC anakufa ( anafungwa ) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Acha uchawi wewe, Yanga ameshinda game kibao za Simba zilizochezwa Jpili.Kinyota: J2 na alhamis ni siku nzuri kwa simba.
kinyota: J5 na j'mosi ni siku nzuri kwetu sisi wana Yanga kwahiyo j2 tukifungwa isiwatishe kagoli katakuwa kamoja tu.
si vibaya kucheza na saikolojia ya wanachama wa yanga pia waliomo humu japo hatuchezi lakini sie pia tuna game plan yetuWasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiuswahili ) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji Tegemeo na Mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa Kimkakati ( Kiutamaduni ) hivyo hana / hatokuwa na Madhara Kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa Tishio na Madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata Yeye pia Keshafanyiwa Mambo ya Kiuswahili / Kiutamaduni na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa Kizingatiwe mno na sana na Watu wa Simba SC walio karibu na Timu kwani GENTAMYCINE nimeamua Kuvaa Mabomu, Kujilipua na Kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya Uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea Kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope Yanga SC anakufa ( anafungwa ) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
kumbe hauko karibu na timu na simba hawakujui kabisa ila kujipendekeza tuWasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiuswahili ) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji Tegemeo na Mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa Kimkakati ( Kiutamaduni ) hivyo hana / hatokuwa na Madhara Kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa Tishio na Madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata Yeye pia Keshafanyiwa Mambo ya Kiuswahili / Kiutamaduni na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa Kizingatiwe mno na sana na Watu wa Simba SC walio karibu na Timu kwani GENTAMYCINE nimeamua Kuvaa Mabomu, Kujilipua na Kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya Uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea Kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope Yanga SC anakufa ( anafungwa ) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Noted,...Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.
Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Hakukuweka? Manake naona kama vile Unampenda na Unamshobokea mno kuliko hata Wanawake Migubegube.Kaijanangoma alikuwa anapoteza muda bure ikiwa mwanafunzi wake unawaza hivyo
Nakubali mkuuWasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.
Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Ulijaa katika 18 Mnafiki mkubwa Wewe.asa kosa langu nn wakati umeandika mwenyewe hapo kuwaomba walio karibu na timu wafikishe maoni,matusi ya nn tena!!!
Mwenzako Okwi Boban Sunzu kwa aibu amebadili jina sasa hivi anajiita Chama BalekeWasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.
Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Sasa kama unafanya yako kwa 100% na unaahidi ushindi, iweje sasa utake hao wachezaji wachungwe? Wasipochungwa vizuri itakuwaje?? Poor youWasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.
1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda
Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.
Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.
Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Acha na iwe mwanzo na mwisho Kunifananisha Mimi na huyo Mpumbavu na Kubwa Jinga Mwenzao Chama Baleke ( zamani OKW BOBAN SUNZU ) sawa?Mwenzako Okwi Boban Sunzu kwa aibu amebadili jina sasa hivi anajiita Chama Baleke
Ule Uzi wa Mayele Vs Kibu Denis unamtesa, sasa na wewe imeingia kwenye 18 utaikimbia hii ID kwa aibu.
Yanga wachezaji wote wanafunga magoli, Djuma Shaban mpira iliyokufa, yupo Bangala muda wowote anakupa surprise, yupo Mudathir goli bora CAF, na Fist on Mayele leo amesisitiza anataka kitu cha dhahabu.
Kwa Yanga hii utaikimbia hii ID yako au utabatizwa upya kama Chama Baleke
Genta mm ni opp wako lakini nakukibali na kuheshimu sana unazi wako,unapokosea kidogo ni pale unapoweka wazi mambo ya kuvunja Nazi😂Hata GENTAMYCINE ambaye Kutwa anatukanwa na Unafurahi nae pia ni Baba wa Watu ( Mzazi ) mbona huwa huumii na huwakosoi Wanaonitukana?
Pumbavu.
so ni kweli haupo karibu na klabu na wala hakuna anayekujua pale simba kwamba unaweza mwambia hizi pumba zako nae akakusikiliza si ndio??Ulijaa katika 18 Mnafiki mkubwa Wewe.
Mama yako Mzazi kunijua Kwake kunatosha.so ni kweli haupo karibu na klabu na wala hakuna anayekujua pale simba kwamba unaweza mwambia hizi pumba zako nae akakusikiliza si ndio??