Wafuatao ni Wachezaji hatari Kinyota kwa Simba SC Jumapili tarehe 16 Aprili, 2023

Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.

1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda

Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.

Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.

Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.

Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Tunza maneno haya
 
Muda huu nimeona kamati yao ya hapa mbeya ya mmama mmoja hatari yupo hapa anapanda kosta kuelekea Dar huku akibishana nao jambo fulani.
Nyanda za juu kusini ni moja ya maeneo ambayo yanga ana kamati hatari ingawa wengine wamekufa kufa miaka michache nyuma.
 
Mpira kazi simple, uwe na bidii, hofu ya kufungwa, umakini, molari ya kushinda, nidhani ukiwa na mpira, wepesi na uharaka kukaba mpira uliopotea, uharaka kwenda goli la mpira, kazi kazi bila madoido, teamwork
 
Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90.

1. Farid Musa
2. Aziz Ki
3. Bernard Morisson
4. Kennedy Musonda

Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji tegemeo na mahiri wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.

Sijamtaja kwakuwa najua tayari ameshashughuliwa kimkakati (kiutamaduni) hivyo hana/hatokuwa na madhara kwetu kama ambavyo hata Mchezaji tegemeo na mahiri wa Simba SC Clatous Chota Chama kamwe hawezi kuwa tishio na madhara kwa Yanga SC kwakuwa hata yeye pia keshafanyiwa mambo ya kiuswahili na Yanga SC.

Tafadhali naomba nilichokiandaka hapa kizingatiwe mno na watu wa Simba SC walio karibu na timu kwani GENTAMYCINE nimeamua kuvaa mabomu, kujilipua na kuicheza hii Mechi ya Jumapili ndani na nje ya uwanja na mpaka sasa kwa ninayoyafanya na naendelea kuyafanya kwa 100% Simba SC itashinda na wala wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums msiogope.

Yanga SC anakufa (anafungwa) kwa Mkapa Jumapili tarehe 16 April, 2023.
Kweli ndoto haishindwi kitu endelea kuota huenda ukaota simba amekuwa bingwa.
 
Back
Top Bottom