Wafuatao ni Wachezaji hatari Kinyota kwa Simba SC Jumapili tarehe 16 Aprili, 2023

Unatuchafulia jukwaa kwa kuleta mambo ya ushirikina.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaaazi kweli kweli
 
Kinyota: J2 na alhamis ni siku nzuri kwa simba.

kinyota: J5 na j'mosi ni siku nzuri kwetu sisi wana Yanga kwahiyo j2 tukifungwa isiwatishe kagoli katakuwa kamoja tu.
Acha uchawi wewe, Yanga ameshinda game kibao za Simba zilizochezwa Jpili.
 
si vibaya kucheza na saikolojia ya wanachama wa yanga pia waliomo humu japo hatuchezi lakini sie pia tuna game plan yetu
 
Ispotoka draw ya 1 - 1 basi kipindi cha pili Yanga ananyamazisha kina popoma....
 
kumbe hauko karibu na timu na simba hawakujui kabisa ila kujipendekeza tu
 
Noted,...
Tunasubiri 90 mins tuone utabir wako
 
Kaijanangoma alikuwa anapoteza muda bure ikiwa mwanafunzi wake unawaza hivyo
Hakukuweka? Manake naona kama vile Unampenda na Unamshobokea mno kuliko hata Wanawake Migubegube.

Yuko SJMC kwa sasa tena ana Doctorate ( PhD ) yake kabisa na ndiyo Mkuu huko kwenye Faculty husika.
 
Nakubali mkuu
 
Mwenzako Okwi Boban Sunzu kwa aibu amebadili jina sasa hivi anajiita Chama Baleke

Ule Uzi wa Mayele Vs Kibu Denis unamtesa, sasa na wewe imeingia kwenye 18 utaikimbia hii ID kwa aibu.

Yanga wachezaji wote wanafunga magoli, Djuma Shaban mpira iliyokufa, yupo Bangala muda wowote anakupa surprise, yupo Mudathir goli bora CAF, na Fist on Mayele leo amesisitiza anataka kitu cha dhahabu.

Kwa Yanga hii utaikimbia hii ID yako au utabatizwa upya kama Chama Baleke
 
Sasa kama unafanya yako kwa 100% na unaahidi ushindi, iweje sasa utake hao wachezaji wachungwe? Wasipochungwa vizuri itakuwaje?? Poor you
 
Acha na iwe mwanzo na mwisho Kunifananisha Mimi na huyo Mpumbavu na Kubwa Jinga Mwenzao Chama Baleke ( zamani OKW BOBAN SUNZU ) sawa?

Nibadili ID kwa tatizo gani na lipi? Yaani Matokeo ya Mechi au kufanya Analysis hapa JamiiForums na kwamba zisipoenda sawa ndiyo niibadili hii Brand ID yangu inayosomwa na kufuatiliwa na Watu wengi wanaojitambua hapa?

Tafadhali nifikishie Ujumbe kwa Chama Baleke wako na mwambie natamani safari hii katika Shindano la JamiiForums kwa Jukwaa la Michezo ( Sports ) nishindanishwe nae na yule Mpuuzi mwingine Greatest Of All Time ( ambaye alichukizwa na hakufurahia Ushindi wangu na yeye kuwa wa Pili ) nae awemo aone / waone kama bado GENTAMYCINE sitoibuka Mshindi au Sitowashinda.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
GENTAMYCINE jamaa wanakutukana saa hizi. Ila wamesahau walikutukana hivi hivi kabla ya game ya Taifa Stars vs Uganda pale kwa Mkapa, Ila baada ya matokeo wakaanza kukupongeza tena. Jambo kama hilo naona linaenda kujirudia tena J'pili.
 
Hata GENTAMYCINE ambaye Kutwa anatukanwa na Unafurahi nae pia ni Baba wa Watu ( Mzazi ) mbona huwa huumii na huwakosoi Wanaonitukana?

Pumbavu.
Genta mm ni opp wako lakini nakukibali na kuheshimu sana unazi wako,unapokosea kidogo ni pale unapoweka wazi mambo ya kuvunja Nazi😂
Hivi hii kitu bado IPO sana kwenye soka letu?....
Nilidhani labda imeisha kwa vikosi kuwekwa vya bei kubwa,
 
so ni kweli haupo karibu na klabu na wala hakuna anayekujua pale simba kwamba unaweza mwambia hizi pumba zako nae akakusikiliza si ndio??
Mama yako Mzazi kunijua Kwake kunatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…