Wafuatao ni warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania ambao sasa wamejitengenezea maisha yao kupitia nguvu ya mashindano hayo

Hongera kwa historia hii.. lakini imenifurahisha Yaani naona kadri unavyozidi kuendelea miaka ya mbele unachoka hata kusimulia maana......
 
Very interestng kwa kweli.....wema ndo hajachuja mpka leo wala kukauka kwenye media....dooh
 
Ila wote hao kitu wema tu ndo yupo hot hadi leo hii labda wa kumfutia anaweza kuwa jokate
 
Angela Damas ni muajiriwa wa Chuo Kikuu Huria Tanzania... Pia ni mke halali wa Mb. Hussein Bashe... Taarifa zako kuwa nafanya kazi UNDP ni za uongo/...
Sio mke wa Odana huyu binti aliwahi kuishi na Odana kwa Mama minute pale mbezibeach Kama mke na mume kweli penzi seat ya Bajaj!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…