Wafuatao ni warembo waliotwaa Taji la Miss Tanzania ambao sasa wamejitengenezea maisha yao kupitia nguvu ya mashindano hayo

Mnoo. Na ana nyota na wabunge. Si wajua ndoa yake ya kwanza aliolewa na yule mbunge ambae sasa hivi kafilisika kuna video yake fulani anaomba msaada kwa rais amsaidie matibabu

duh yupo huyo mbunge?😊unadhan nafatiliaga habari za maceleb? so MB ndo anaomba msaada au mbiki
 
Mnoo. Na ana nyota na wabunge. Si wajua ndoa yake ya kwanza aliolewa na yule mbunge ambae sasa hivi kafilisika kuna video yake fulani anaomba msaada kwa rais amsaidie matibabu
Mbunge gani huyo aliyefilisika
 
Jacklyn itakua aibu mkuu
 
kuanzia 2005 walianza kupatikana mamiss kwa kigezo cha kumpa uroda ludenga
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…