Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
Mbona unatukana watu hovyo hovyo mkuu.Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25...
Huu uzi ume copy na ku pest ama umewaza nakuandika mwenyewe, mbona kama kichwani hamnakitu lakini umeandika point nzuri tu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app