Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Your craftsmanship surpasses mine; I entrust this task to you. While my attempt is passable, I have no doubt yours will be nothing short of magnificent.Nimependa kiingereza chako mkuu..Nikiwa mkubwa nataka nijue kizungu kama wewe.
Umesahau na hili kundiUmaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetamka wazi namna ya kuondokana na umaskini. Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hataki viumbe wake tuwe maskini.
Mengi sana yamesemwa kuhusu umaskini ila mimi leo ninayataja makundi ambayo ni ngumu sana kwao kujichomoa kwenye umaskini. Ni kama wamefunga ndoa na umaskini. Kama unaangukia kwenye kundi mojawapo basi badilika kabla hujachelewa.
1. Kundi namba moja ni wale wanaopambana sana kujitafuta na kweli kuna wakati riziki zinawajia ila cha kusikitisha wakipata hela kidogo kama sio kuongeza mke basi ataongeza mpenzi au mchepuko.
2. Wale wanaotumia vibaya msemo wa "Tutafute hela ila tusisahau kuishi" ni kundi namba 2 lililofunga ndoa na umaskini. Hili kundi wengi wao ni kipato cha kati. Badala ya kuwekeza vizuri vipato vyao hutumia kufurahisha nafsi zao kwa kisingizio cha "tusisahau kuishi".. mara nyingi huchukua mikopo ya magari na vacations. Wengi wao kukitokea hitilafu kidogo kwenye kazi zao huwa ni kilio. Tumia sehemu ya faida kula maisha na sio mtaji.
3. Wajasiriamali wadogo wanaoanza kuinuka ila katika hali ya kushangaza badala ya kukuza zaidi biashara yao husombwa na kelele za jamii kununua kiwanja na kuanza kujenga nyumba pamoja na kununua gari ya kutembelea. Hili ni kosa kubwa sana linalofanywa na vijana wengi wadogo wanaoanza kujitafuta. Hili kundi lina wanamichezo na wasanii pia. Kwa mfano mwanariadha ukishinda mbio ukalipwa labda Tsh 10m tafadhali achana na habari za kurudi kijijini na kuanza kusimamia ujenzi. Nenda hata kalipie kambi Eldoret au Ethiopia ufanye mazoezi na mabingwa.
4. Wanaochukua mikopo kugharamia harusi au sherehe nyingine yoyote ya gharama.
5. Wale watu wanaotumia fedha zao kufungulia biashara wasizozifahamu hata kidogo kisa wameambiwa inalipa. Mara nyingi wastaafu wako kwenye hili kundi.
6. Wote wasiojali afya zao. Afya ni asset. Bila afya mambo mengine ni ubatili. Fanya uwezalo kuchukua tahadhari kuhusu afya. Ingawa kuumwa na kufa ni lazima lakini ukichukua tahadhari hata kidogo inapunguza sana mateso ukiwa hai.

Kuna mashindano kwani?We jamaa bado sana kifikra, endelea kujifua kijana.
Hao ndo wanaongoza kwa kujipatia utajiri kwa njia za mkato6. Wanaoshabikia CCM.
Hiki ni kingereza au Kilatini?Your craftsmanship surpasses mine; I entrust this task to you. While my attempt is passable, I have no doubt yours will be nothing short of magnificent.
I appreciate!
The language you reference is indeed straightforward English, quite distinct from the rich complexities of Latin. Might there be any part of my explanation that remains unclear to you?Hiki ni kingereza au Kilatini?
Mkuu una kingereza ninachohitaji for my interview halafu unakipoteza hapa. DahKulikoni Mkuu?
Unajiita mama Samia kumbe dume? Basi unahitaji mtarimbo mpumbavu wewe..
While we embrace the use of nicknames, it's reasonable to expect these pseudonyms to reflect one's gender. Opting for a name typically associated with the opposite gender, yet anticipating others to address you accurately, lacks practicality. Ni USHOGA.
Pathetic!
ukitoa shilingi 50 kwenye milioni 1 unadhani itakuwa milioni si itakuwa laki tena.Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetamka wazi namna ya kuondokana na umaskini. Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hataki viumbe wake tuwe maskini.