Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kataa CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uoga mkuuSiyo kwamba wanatuona majuha. Sisi ni majuha kweli.
Hukuona kipindi kile mtu ni mbunge kupitia chama cha upinzani anajivua ubunge halafu anagombea u unve kupitia ccm. Na majuha yakamchagua mtu kama huyu.
Au juzi juzi huko Mbeya mbunge wa viti maalumu kajivua ubunge akaenda kugombea ubunge. Na majuha yanamsikiloza mtu kama huyu!!!?
Akina Halima Mdee walipaswa kuwa marehemu muda huu kama kweli tusingekuwa majuha.
Kataa CCM kama ulivyomkataa shetani na kazi zoteKataa CCM
Umenena, tena kwenye kampeni mpaka mtu anauwawa kwa risasi na hatujali tunajali kumpa mkolono mweusi ofisi.Siyo kwamba wanatuona majuha. Sisi ni majuha kweli.
Hukuona kipindi kile mtu ni mbunge kupitia chama cha upinzani anajivua ubunge halafu anagombea u unve kupitia ccm. Na majuha yakamchagua mtu kama huyu.
Au juzi juzi huko Mbeya mbunge wa viti maalumu kajivua ubunge akaenda kugombea ubunge. Na majuha yanamsikiloza mtu kama huyu!!!?
Akina Halima Mdee walipaswa kuwa marehemu muda huu kama kweli tusingekuwa majuha.
Mzee Mdee amenunua appartment nyingi Kawe-Dar es salaam, inasemekana amefungua kampuni ya usafirishaji na malori mengi .Mzee mdee pekee alilamba b10 kwa kuwezesha huu uharamia kufanikiwa. Ndiyo maana alilia sana dhalim alipokata moto.
Ni Laana mkuu.ACHANENI NAO TU HAWA
NATURE ITAKUJA KUAMUA TU ONE
DAY
ova