Wafuatao wamehujumu Tanganyika? Warudishe mabilioni waliyolipwa! Dini inasemaje kula mali ya maskini na yatima

Uoga mkuu
 
Umenena, tena kwenye kampeni mpaka mtu anauwawa kwa risasi na hatujali tunajali kumpa mkolono mweusi ofisi.
 
Mzee mdee pekee alilamba b10 kwa kuwezesha huu uharamia kufanikiwa. Ndiyo maana alilia sana dhalim alipokata moto.
Mzee Mdee amenunua appartment nyingi Kawe-Dar es salaam, inasemekana amefungua kampuni ya usafirishaji na malori mengi .
Mzee Mdee ni kati ya watu wanaosemekana walionunua Bond za BOT za muda mrefu.
Hizi milioni 16 za kila mwezi wanazotunyonya ni nogo sana, Jiwe aliwalipa hela nyingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…