Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Hayo umeyatoa wapi?
 
Kwamba tangu alipofariki watu wameacha kupotea?

Pia mada inamjadili Magu Kwa sifa kuu nne pekee, 1. Uzalendo, 2. Uthubutu 3. Uchapakazi 4. MAONO.

Jadili HOJA hapo juu , ikiwa huna HOJA nyamaza kimya.
 
MATUMAINI KUWA CCM ITALETA MABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATANZANIA NI NDOTO, HATA MIRADI YA MWENDAZAKE NI KAMA UCHOCHORO TU WA WAJANJA KUTAFUNA KODI ZA WATANZANIA
 
MATUMAINI KUWA CCM ITALETA MABADILIKO KATIKA MAISHA YA WATANZANIA NI NDOTO, HATA MIRADI YA MWENDAZAKE NI KAMA UCHOCHORO TU WA WAJANJA KUTAFUNA KODI ZA WATANZANIA
CCM halijatajwa katika Uzi. By the way Lissu Si CCM.

Tujadili sifa hizo nne hapo juu Kwa watajwa.

Tutapata Katiba mpya nzuri kudhibiti hayo.

Kwa sasa tujikite kwenye mada 🙏
 
Umeharibu ulipoingiza maneno "sisi" na "ukanda".

Lakini Asante Kwa mchango wako.
 
Kashaleta meli za uvuvi kawe? Watu wa kawe washaanza kwenda birmingham.

Gwaji ni tapeli tu
Jenga HOJA basi kama unaweza ukihusisha sifa kuu nne hapo juu🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…