Wapo 4 hapo juu,Ndiyo ujue kuwa mtoa thread @rabbana akili ya mende. Kweli tapeli wa Biblia Gwajima anamfikiria kwenye Urais wa Tanzania? Huyu hata ubunge wa Kawe mwaka 2025 hachukui form kwa sababu anajuwa hatakatiza. Halafu mpumbavu mmoja anaanzisha thread ya kuwa Gwajima ni presidential prospect. Rubbish
Ana sifa gani Magu za kujadiliwa? Mtu wa hovyo kabisa aliyepata Urais sababu ya mgongano tu wa kambi ya Lowassa na Kikwette lakini kwa ujinga wake akajifanya mjuaji kumbe ni mshamba tu kutoka Kolomije ya Chato.Aliyechukua hatua ya kuyazuia ni Mzalendo Philip Mpango.
Kodi ilipolipwa, yakaachiliwa.
Pia kumbuka, Magu haujadiliwi hapa, zinajadiliwa sifa njema 4 alizokuwa nazo Magu kuwahusisha watu 4 hapo juu.
Jikite kwenye mada.
Na usinijibu ndiyo vizuri. Hatuwezi kuacha mada kama hizi zipite za kumtakasa Dikteta aliyekataliwa na MunguSitakujibu sababu unatutoa kwenye mada.
Ahsante Kwa mchango wako 🙏
Wanzenj tayari wanalalama visiwa viwili kupewa wageni kama ilivyokuwa loliondo, na bandari zetu.Ondoa Gwajima weka Hussein Mwinyi
Majaliwa hata u-PM kwa 2025-30 hatakuwapo. Hakuna PM zaidi ya Nyerere ambaye amewahi kuwa Rais wa Tanzania toka tupate uhuru.Wapo 4 hapo juu,
Vp kuhusu Kassim Majaliwa, Philip Mpango na Tundu Lisu?
Mbona husemi kumhusu Tundu Antipas Lissu 😀?Majaliwa hata u-PM kwa 2025-30 hatakuwapo. Hakuna PM zaidi ya Nyerere ambaye amewahi kuwa Rais wa Tanzania toka tupate uhuru.
Ukiwa PM unakuwa exposed sana weaknesses hivyo kuna namna unakuwa siyo favourable kuwa Rais. Kuna namna unakuwa umechokwa au unaonekana na wewe ulikuwa Rais kwenye utawala unaotoka.
Mpango kwanza hana kiu ya kuwa Rais, pili afya yake bado mgogoro na tatu yawezekana ni mzaliwa wa Burundi.
Toa maoni Yako kumhusu Tundu Lisu,Majaliwa hata u-PM kwa 2025-30 hatakuwapo. Hakuna PM zaidi ya Nyerere ambaye amewahi kuwa Rais wa Tanzania toka tupate uhuru.
Ukiwa PM unakuwa exposed sana weaknesses hivyo kuna namna unakuwa siyo favourable kuwa Rais. Kuna namna unakuwa umechokwa au unaonekana na wewe ulikuwa Rais kwenye utawala unaotoka.
Mpango kwanza hana kiu ya kuwa Rais, pili afya yake bado mgogoro na tatu yawezekana ni mzaliwa wa Burundi.
Gwajima huyu wa kupeleka wati Birmingham USA wa kufikirika acha mzaha wa hovyoSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Sifa hiyo ya kupeleka watu Birmingham USA haikutajwa hapo!!Gwajima huyu wa kupeleka wati Birmingham USA wa kufikirika acha mzaha wa hovyo
Gwajima kamua kufungua uzi apime upepo!Ndiyo ujue kuwa mtoa thread Rabbon ana akili ya mende. Kweli tapeli wa Biblia Gwajima anamfikiria kwenye Urais wa Tanzania? Huyu hata ubunge wa Kawe mwaka 2025 hachukui form kwa sababu anajuwa hatakatiza. Halafu mpumbavu mmoja anaanzisha thread ya kuwa Gwajima ni presidential prospect. Rubbish
Jiwe walilolikataa waashii....Namba 4, 3 ❌
Makonda ni muadilifu LAZIMA Makonda aje kuwa rais wa TanzaniaMkwepa Kodi hawezi kupewa nafasi hapo juu.
Lissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.Mbona husemi kumhusu Tundu Antipas Lissu 😀?
Gwajima TAPELI tu anayetumia udhaifu wa watanzania wenye imani nyepesi. Anasema yeye ni askofu wa ufufuo na uzima, ila akashindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe.Gwajima kamua kufungua uzi apime upepo!
Aiyo kufurahia ndugu yangu. Kuna watu wana maneno balaa. Yaani mama mtu alienda kukesha kwenye mbio za mwenge,akapigwa mimba huko huko. Huenda na mwenye mimba akawa hajulikani sasa.Mbona unafurahia Ujinga?
Kati ya wote 4, huyo ndo umemwona threat sio!!Gwajima kamua kufungua uzi apime upepo!
Taifa la mashoga na wasagaji (LBTQ)vp anko Halima ye hafai kisha first lady awe bulaya
Yeye Kafia madarakani wewe utafikia kwenye kiuno Cha mwaume mwenzioHakuna mema alifanya yule TAKATAKA zaidi ya kuleta mgawanyiko wa nchi ki makabila, kikanda na kiitikadi.
Mtu anasema kabisa kuwa hapa Tunduma mlichagua mbunge wa CHADEMA, kwa hiyo sileti miradi ya maendeleo. Na kumbuka Tunduma wanalipa kodi kama Chato.
Hilo DUBWASHA Mungu alilikataa ndiyo maana lilikufa likiwa madarakani baada ya kuiba kura zote za 2020 October.
Angekuwa mwema angeeendelea kuwa hai.
Watanzania jifunzeni kumuelewa Mungu na alama anazotupa. Magufuli alikuwa ni laana na alikuwa anaharibu utaifa wetu.
Mtu wa calibre ya Magufuli hatumtaki na hana nafasi kwa Tanzania ijayo