Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Ndiyo ujue kuwa mtoa thread @rabbana akili ya mende. Kweli tapeli wa Biblia Gwajima anamfikiria kwenye Urais wa Tanzania? Huyu hata ubunge wa Kawe mwaka 2025 hachukui form kwa sababu anajuwa hatakatiza. Halafu mpumbavu mmoja anaanzisha thread ya kuwa Gwajima ni presidential prospect. Rubbish
Wapo 4 hapo juu,

Vp kuhusu Kassim Majaliwa, Philip Mpango na Tundu Lisu?
 
Aliyechukua hatua ya kuyazuia ni Mzalendo Philip Mpango.

Kodi ilipolipwa, yakaachiliwa.

Pia kumbuka, Magu haujadiliwi hapa, zinajadiliwa sifa njema 4 alizokuwa nazo Magu kuwahusisha watu 4 hapo juu.

Jikite kwenye mada.
Ana sifa gani Magu za kujadiliwa? Mtu wa hovyo kabisa aliyepata Urais sababu ya mgongano tu wa kambi ya Lowassa na Kikwette lakini kwa ujinga wake akajifanya mjuaji kumbe ni mshamba tu kutoka Kolomije ya Chato.
 
Sitakujibu sababu unatutoa kwenye mada.

Ahsante Kwa mchango wako 🙏
Na usinijibu ndiyo vizuri. Hatuwezi kuacha mada kama hizi zipite za kumtakasa Dikteta aliyekataliwa na Mungu
 
Ondoa Gwajima weka Hussein Mwinyi
Wanzenj tayari wanalalama visiwa viwili kupewa wageni kama ilivyokuwa loliondo, na bandari zetu.

UZALENDO ukikosekana, tunatakiwa kumuua nyani pasi kumwangalia usoni!!
 
Wapo 4 hapo juu,

Vp kuhusu Kassim Majaliwa, Philip Mpango na Tundu Lisu?
Majaliwa hata u-PM kwa 2025-30 hatakuwapo. Hakuna PM zaidi ya Nyerere ambaye amewahi kuwa Rais wa Tanzania toka tupate uhuru.

Ukiwa PM unakuwa exposed sana weaknesses hivyo kuna namna unakuwa siyo favourable kuwa Rais. Kuna namna unakuwa umechokwa au unaonekana na wewe ulikuwa Rais kwenye utawala unaotoka.

Mpango kwanza hana kiu ya kuwa Rais, pili afya yake bado mgogoro na tatu yawezekana ni mzaliwa wa Burundi.
 
Mbona husemi kumhusu Tundu Antipas Lissu 😀?
 
Toa maoni Yako kumhusu Tundu Lisu,

1. Ana maono?

2. Ni mzalendo?

3. Ni mchapakazi?

4. Ni mwenye uthubutu na msimamo usioyumba?

Karibu.
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Gwajima huyu wa kupeleka wati Birmingham USA wa kufikirika acha mzaha wa hovyo
 
Gwajima huyu wa kupeleka wati Birmingham USA wa kufikirika acha mzaha wa hovyo
Sifa hiyo ya kupeleka watu Birmingham USA haikutajwa hapo!!

Ingekuwa kheri kwako ukajadili ikiwa,

1. Ni mzalendo au la.

2. Ana maono au la.

3. Ni mchapakazi au la

4. Ni mthubutu & mwenye msimamo usioyumba au la!!

Karibu ndugu.🙏
 
Ndiyo ujue kuwa mtoa thread Rabbon ana akili ya mende. Kweli tapeli wa Biblia Gwajima anamfikiria kwenye Urais wa Tanzania? Huyu hata ubunge wa Kawe mwaka 2025 hachukui form kwa sababu anajuwa hatakatiza. Halafu mpumbavu mmoja anaanzisha thread ya kuwa Gwajima ni presidential prospect. Rubbish
Gwajima kamua kufungua uzi apime upepo!
 
Mbona husemi kumhusu Tundu Antipas Lissu 😀?
Lissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.

Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili, busara na asiye na ghadhabu. Kwenye uongozi tofauti ya Lissu na Magufuli ni ndogo sana.

Kama CHADEMA inaweza kutoa kiongozi mzuri basi ni Mbowe anazo qualities zote. Lakini ni mfanyabiashara. Atatumia fursa zote kujitajirisha kama anavyofanya na fedha na raslimali za chama. Wakishindwa basi John Mnyika
 
Gwajima kamua kufungua uzi apime upepo!
Gwajima TAPELI tu anayetumia udhaifu wa watanzania wenye imani nyepesi. Anasema yeye ni askofu wa ufufuo na uzima, ila akashindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe.
 
Mbona unafurahia Ujinga?
Aiyo kufurahia ndugu yangu. Kuna watu wana maneno balaa. Yaani mama mtu alienda kukesha kwenye mbio za mwenge,akapigwa mimba huko huko. Huenda na mwenye mimba akawa hajulikani sasa.
 
Hakuna mema alifanya yule TAKATAKA zaidi ya kuleta mgawanyiko wa nchi ki makabila, kikanda na kiitikadi.

Mtu anasema kabisa kuwa hapa Tunduma mlichagua mbunge wa CHADEMA, kwa hiyo sileti miradi ya maendeleo. Na kumbuka Tunduma wanalipa kodi kama Chato.

Hilo DUBWASHA Mungu alilikataa ndiyo maana lilikufa likiwa madarakani baada ya kuiba kura zote za 2020 October.

Angekuwa mwema angeeendelea kuwa hai.

Watanzania jifunzeni kumuelewa Mungu na alama anazotupa. Magufuli alikuwa ni laana na alikuwa anaharibu utaifa wetu.

Mtu wa calibre ya Magufuli hatumtaki na hana nafasi kwa Tanzania ijayo
Yeye Kafia madarakani wewe utafikia kwenye kiuno Cha mwaume mwenzio

Nyie wapumbavu amjawahi fiwa na wazazi? Mnadhani kifo ni hukumu?

Atakua jamaa alikutoa marinda hapo ujenzi unalialia
 
Back
Top Bottom