ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
SSH nafikiri yupo kwenye 60 lakini hana nguvu kuwasikiliza wananchi, ila ana nguvu ya kusafiri, bata.Too late
Anha ila sioni maajabu yakeSSH nafikiri yupo kwenye 60 lakini hana nguvu kuwasikiliza wananchi, ila ana nguvu ya kusafiri, bata.
Usimamizi, kuwasimamia wateule wake hana muda. Anavijua vipaumbele vyake, bata, holiday.
Unachotafuta na kuhitaji ni kiongozi mwenye uchungu, serious, makini, uthubutu. Lukuvi anatimiza hivyo vigezo.
Migogoro ya ardhi aliithbiti hasa kuwasaidia maskini. Migogoro mikubwa Tanzania ni ardhi, sheria, stahiki.rushwa.Anha ila sioni maajabu yake
Labda Kassim Mganga
Mhh angemaliza Mgogoro wa Mapwepande, mbopo, Kinondo ninjua ni mwambaMigogoro ya ardhi aliithbiti hasa kuwasaidia maskini. Migogoro mikubwa Tanzania ni ardhi, sheria, stahiki.rushwa.
Nani ana uzoefu kwenye hii wizara kuliko yeye Tanzania? Migogoro mingapi mikubwa ametatua Tanzania nzima? Wangapi amewasaidia.?Mhh angemaliza Mgogoro wa Mapwepande, mbopo, Kinondo ninjua ni mwamba
Ila aliacha kama aujui
Magu alikua nyoko ndio maana nae akaenda mule muleNani ana uzoefu kwenye hii wizara kuliko yeye Tanzania? Migogoro mingapi mikubwa ametatua Tanzania nzima? Wangapi amewasaidia.?
Kama nani?Magu alikua nyoko ndio maana nae akaenda mule mule
Ila kwake Bado
Kuna watu wazuri zaidi yake awajaaminiwa tu hapo
Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].
Karibuni[emoji120]
SokoineMawazo Yako yanaheshimiwa,
Ingawa tangu Nchi kupata uhuru, hajawahi kufanikiwa PM yeyote kukikalia KITI hicho!!
Uchambuzi mzuri.tuwachambue kidogo
KASIM MAJALIWA
W/M kiongozi wa kazi/mtendaji mkuu wa kazi zote za serikali, anayo mammlaka ya kuteua na kutengua Kwa ngazi ya serikal za mitaa, anauwezo wa kutoa maagizo, ni mkono wa kuume wa Rais, kimsingi ndyo taswara ya utendaji, Kwa haiba yake anamipaka japo ni kiongozi mzuri, kunawakati(Kwa hyu Rais wa Sasa) anaogopa kucheza rafu, japo anaweeza, akipewa mikoba anaweza kutuvusha nampa 70%
PHILIPO MPANGO
kiutendaji ni M/R, Kwa washifa wake Hana meno popote maana ni kiongozi anaehusika na mambo ya Muungano na mazingira, ni mtu ambae anafanya kazi kwa kumwakilisha Madam president, Kwa haiba yake si mtendaji mkuu haswa na hawezi kunyambua mambo mengi si mzuri kwenye kuchukua Uamuzi
anauwezo wa kufanya kazi chini ya mtu mwingine ila si kuwa mwongoza maono, Kwa nchi kama za kiafrika hatujakuwa na mifumo ya kuongozwa Kwa aina hyo ya upole na full democrats kuna mahari lazima tupitishwa Kwa lazima ili maendeleo yaonekane.
LISU TUNDU
ni mwanaharakati zaidi ni watu wanajua kujenga hoja haswaaa na anauwiano sahihi na mifumo ya serikali tatzo lake ni kugeuka geuka na kubadilishwa, akiwa na tatzo ukamsaidia tatzo lake atakuwa rafk na huenda akamuumiza mtu mwingine ili akupe fever, ni mwepesi kuwa na hasira, hawezi kusamehe na kuvumilia mambo, kiujumla friji haligandishi,
Kwa upande wake anaweza kuwa kiongozi mzuri ila akiwa chini ya watu nguli ambao watamshep vyema kabla ya kuwa mwamzi Moja Kwa Moja.
GWAJI BOY
ni haiba ya watu wanaoitwa sanguine, wanaushawishi mkubwa Sana , wanajua kupangilia vitu, wanaweza kuupanga uongo ukawa ukwel, na ukwel ukawa uongo, ni aina ya mtu ambae ni talented kwel kwel Kwa kuongea, ila linapokuja swala la utendaji ni 20%au chini kabisa haswa yale mambo ya msingi, kiujumla ndye mtu pekee ambae msimamo wake hutegemea na Upepo ulivyo, ila siasa anaiweza vizri na dini pia, ukimkuta mtu anaweza vyote hvyo hyo mtu si wa kawaida
hawezi kuwa na sifa ya kuongoza nchi maana anapungukiwa na utashi wa maamuzi na kuongoza watu.
itoshe kusema wote hao wanamapungufu ila walao KMK anaweza akipewa kijiti,
bandiko lako pamoja na michango ya wanajukwaa yanatoa picha walao kidgo kuwa kizimkazi hapana asbh hii inamaana kuwa safri imeishia hapo.. kama ndvyo Upepo wa kusini na kaskazin masharki unanyatia Sana,
B
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi maoni yako kuhusu Polepole, Lukuvi?Anayeweza viatu vya Magufuli ni mtu ambaye hajulikani sana sasa hivi. Mtu yeyote kwenye CCM anayejulikana sana hawezi kuvaa viatu hivyo!
MamakoAnza kwanza na mamako maana alipata mimba yako kwenye mkesha wa mbio za mwenge
Lukuvi hakuwahi kudhibiti migogoro yeyote. Ule ulikuwa usanii wa kwenye Atv tuMigogoro ya ardhi aliithbiti hasa kuwasaidia maskini. Migogoro mikubwa Tanzania ni ardhi, sheria, stahiki.rushwa.
Vp kuhusu Bashite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo umepatia mmoja tu Kassim Majaliwa.
Hao wengine ni wachumia tumbo tu
Mchango mzuri sana.tuwachambue kidogo
KASIM MAJALIWA
W/M kiongozi wa kazi/mtendaji mkuu wa kazi zote za serikali, anayo mammlaka ya kuteua na kutengua Kwa ngazi ya serikal za mitaa, anauwezo wa kutoa maagizo, ni mkono wa kuume wa Rais, kimsingi ndyo taswara ya utendaji, Kwa haiba yake anamipaka japo ni kiongozi mzuri, kunawakati(Kwa hyu Rais wa Sasa) anaogopa kucheza rafu, japo anaweeza, akipewa mikoba anaweza kutuvusha nampa 70%
PHILIPO MPANGO
kiutendaji ni M/R, Kwa washifa wake Hana meno popote maana ni kiongozi anaehusika na mambo ya Muungano na mazingira, ni mtu ambae anafanya kazi kwa kumwakilisha Madam president, Kwa haiba yake si mtendaji mkuu haswa na hawezi kunyambua mambo mengi si mzuri kwenye kuchukua Uamuzi
anauwezo wa kufanya kazi chini ya mtu mwingine ila si kuwa mwongoza maono, Kwa nchi kama za kiafrika hatujakuwa na mifumo ya kuongozwa Kwa aina hyo ya upole na full democrats kuna mahari lazima tupitishwa Kwa lazima ili maendeleo yaonekane.
LISU TUNDU
ni mwanaharakati zaidi ni watu wanajua kujenga hoja haswaaa na anauwiano sahihi na mifumo ya serikali tatzo lake ni kugeuka geuka na kubadilishwa, akiwa na tatzo ukamsaidia tatzo lake atakuwa rafk na huenda akamuumiza mtu mwingine ili akupe fever, ni mwepesi kuwa na hasira, hawezi kusamehe na kuvumilia mambo, kiujumla friji haligandishi,
Kwa upande wake anaweza kuwa kiongozi mzuri ila akiwa chini ya watu nguli ambao watamshep vyema kabla ya kuwa mwamzi Moja Kwa Moja.
GWAJI BOY
ni haiba ya watu wanaoitwa sanguine, wanaushawishi mkubwa Sana , wanajua kupangilia vitu, wanaweza kuupanga uongo ukawa ukwel, na ukwel ukawa uongo, ni aina ya mtu ambae ni talented kwel kwel Kwa kuongea, ila linapokuja swala la utendaji ni 20%au chini kabisa haswa yale mambo ya msingi, kiujumla ndye mtu pekee ambae msimamo wake hutegemea na Upepo ulivyo, ila siasa anaiweza vizri na dini pia, ukimkuta mtu anaweza vyote hvyo hyo mtu si wa kawaida
hawezi kuwa na sifa ya kuongoza nchi maana anapungukiwa na utashi wa maamuzi na kuongoza watu.
itoshe kusema wote hao wanamapungufu ila walao KMK anaweza akipewa kijiti,
bandiko lako pamoja na michango ya wanajukwaa yanatoa picha walao kidgo kuwa kizimkazi hapana asbh hii inamaana kuwa safri imeishia hapo.. kama ndvyo Upepo wa kusini na kaskazin masharki unanyatia Sana,
B
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuwa mwizi ndio. Mimi ndo nilikuibia mkeUnapingana na Lissu na Mbowe waliokiri wazi juu ya Uchapakazi na UZALENDO wa Nabii Magu?
Uliwahi kuwa Mwizi before?
Maana wezi Huwa hawawakubali police asilani[emoji3][emoji3]
Jizi, uaji, liongo, lazima litajwe tajwe. Aendelee kufa huyo shetaniMagufuli hajafa.
Ndomana hakauki midomoni mwa Watanzania Hadi atakapopata mtu sahihi wa kuvivaa viatu vyake.
Makinika.
Ok,Jizi, uaji, liongo, lazima litajwe tajwe. Aendelee kufa huyo shetani