Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

SSH nafikiri yupo kwenye 60 lakini hana nguvu kuwasikiliza wananchi, ila ana nguvu ya kusafiri, bata.

Usimamizi, kuwasimamia wateule wake hana muda. Anavijua vipaumbele vyake, bata, holiday.

Unachotafuta na kuhitaji ni kiongozi mwenye uchungu, serious, makini, uthubutu. Lukuvi anatimiza hivyo vigezo.
 
Anha ila sioni maajabu yake

Labda Kassim Mganga
 
Nani ana uzoefu kwenye hii wizara kuliko yeye Tanzania? Migogoro mingapi mikubwa ametatua Tanzania nzima? Wangapi amewasaidia.?
Magu alikua nyoko ndio maana nae akaenda mule mule

Ila kwake Bado

Kuna watu wazuri zaidi yake awajaaminiwa tu hapo
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241].

Karibuni[emoji120]

tuwachambue kidogo

KASIM MAJALIWA
W/M kiongozi wa kazi/mtendaji mkuu wa kazi zote za serikali, anayo mammlaka ya kuteua na kutengua Kwa ngazi ya serikal za mitaa, anauwezo wa kutoa maagizo, ni mkono wa kuume wa Rais, kimsingi ndyo taswara ya utendaji, Kwa haiba yake anamipaka japo ni kiongozi mzuri, kunawakati(Kwa hyu Rais wa Sasa) anaogopa kucheza rafu, japo anaweeza, akipewa mikoba anaweza kutuvusha nampa 70%

PHILIPO MPANGO

kiutendaji ni M/R, Kwa washifa wake Hana meno popote maana ni kiongozi anaehusika na mambo ya Muungano na mazingira, ni mtu ambae anafanya kazi kwa kumwakilisha Madam president, Kwa haiba yake si mtendaji mkuu haswa na hawezi kunyambua mambo mengi si mzuri kwenye kuchukua Uamuzi

anauwezo wa kufanya kazi chini ya mtu mwingine ila si kuwa mwongoza maono, Kwa nchi kama za kiafrika hatujakuwa na mifumo ya kuongozwa Kwa aina hyo ya upole na full democrats kuna mahari lazima tupitishwa Kwa lazima ili maendeleo yaonekane.

LISU TUNDU

ni mwanaharakati zaidi ni watu wanajua kujenga hoja haswaaa na anauwiano sahihi na mifumo ya serikali tatzo lake ni kugeuka geuka na kubadilishwa, akiwa na tatzo ukamsaidia tatzo lake atakuwa rafk na huenda akamuumiza mtu mwingine ili akupe fever, ni mwepesi kuwa na hasira, hawezi kusamehe na kuvumilia mambo, kiujumla friji haligandishi,

Kwa upande wake anaweza kuwa kiongozi mzuri ila akiwa chini ya watu nguli ambao watamshep vyema kabla ya kuwa mwamzi Moja Kwa Moja.

GWAJI BOY

ni haiba ya watu wanaoitwa sanguine, wanaushawishi mkubwa Sana , wanajua kupangilia vitu, wanaweza kuupanga uongo ukawa ukwel, na ukwel ukawa uongo, ni aina ya mtu ambae ni talented kwel kwel Kwa kuongea, ila linapokuja swala la utendaji ni 20%au chini kabisa haswa yale mambo ya msingi, kiujumla ndye mtu pekee ambae msimamo wake hutegemea na Upepo ulivyo, ila siasa anaiweza vizri na dini pia, ukimkuta mtu anaweza vyote hvyo hyo mtu si wa kawaida

hawezi kuwa na sifa ya kuongoza nchi maana anapungukiwa na utashi wa maamuzi na kuongoza watu.

itoshe kusema wote hao wanamapungufu ila walao KMK anaweza akipewa kijiti,

bandiko lako pamoja na michango ya wanajukwaa yanatoa picha walao kidgo kuwa kizimkazi hapana asbh hii inamaana kuwa safri imeishia hapo.. kama ndvyo Upepo wa kusini na kaskazin masharki unanyatia Sana,

B

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayeweza viatu vya Magufuli ni mtu ambaye hajulikani sana sasa hivi. Mtu yeyote kwenye CCM anayejulikana sana hawezi kuvaa viatu hivyo!
 
Uchambuzi mzuri.
 
Migogoro ya ardhi aliithbiti hasa kuwasaidia maskini. Migogoro mikubwa Tanzania ni ardhi, sheria, stahiki.rushwa.
Lukuvi hakuwahi kudhibiti migogoro yeyote. Ule ulikuwa usanii wa kwenye Atv tu
 
Mchango mzuri sana.

1. Kassim Majaliwa.

Ni mwadilifu ☑️ sifa muhimu sana.

Huyu ni kiongozi Hasa, Ako na sifa zote muhimu.

Kikwazo ni huo mwiko uliowekwa wa Waziri mkuu kutopenya kufikia Urais kulingana na historia.

2. Philip Mpango.

Ni mwadilifu ☑️ sifa muhimu sana.

Kumwita ni full democratic na mpole kwamba hawezi kuchukua maamuzi kiutendaji umekosea sana.

Mtu huyu hapayuki, ila kwenye suala la msimamo na ufuatiliaji na kuchukua hatua kiuongozi ni level ingine kabisa.

Ungepata access kuuliza mawaziri walivofanya KAZI naye watakwambia Hilo.

3. Tundu Lissu.

Ni mwadilifu ☑️ sifa muhimu sana.

Ni mkosoaji mzuri, ni mfuatiliaji mzuri, mchapakazi bright, aongeavyo unaweza ona Vision ikiwa atapewa nafasi.

Mtu wa aina hii, akipata mamlaka hayo makubwa Si Rahisi kuangalia maslah binafsi , atajali zaidi Nchi kuliko maslah yake binafsi. Pia anaweza kuboresha na kuunda mifumo mizuri kiutendaji kama Ben Mkapa.

Uzoefu ndani ya Serikali Hana, ingawa Kwa kukaa sana bungeni, na kuwa Mwanasheria anayajua mengi ndani ya mfumo.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Ni mwadilifu☑️ sifa hii ni muhimu mno.

Mtu huyu ana dira, ni mwanzilishi na kiongozi wa Taasisi kubwa yenye matawi ndani na nje ya nchi hivyo ni mtu anayetizama mambo ktk picha kubwa Si kibinafsi. Ni kiongozi ambaye tayari amefanya makubwa katika Taasisi aliyeanzisha na kusimamia.

Akipata Vichwa kadhaa katika baraza la mawaziri na kuvipa dira aliyonayo na dira ya nchi, wakishirikiana,tutapiga hatua kubwa sana.

Kiukweli, mmoja kati Yao akibahatika, Nchi itarudi kuwa katika msingi mzuri na kupiga hatua za haraka sana.
 
Unapingana na Lissu na Mbowe waliokiri wazi juu ya Uchapakazi na UZALENDO wa Nabii Magu?

Uliwahi kuwa Mwizi before?

Maana wezi Huwa hawawakubali police asilani[emoji3][emoji3]
Niliwahi kuwa mwizi ndio. Mimi ndo nilikuibia mke
 
Magufuli hajafa.

Ndomana hakauki midomoni mwa Watanzania Hadi atakapopata mtu sahihi wa kuvivaa viatu vyake.

Makinika.
Jizi, uaji, liongo, lazima litajwe tajwe. Aendelee kufa huyo shetani
 
Ok,

Kunywa maji sasa ushushe pressure.

Ukitulia, soma UPYA Kisha rudi kuchangia ukijikita kwenye mada.

Mawazo Yako yanaheshimiwa 🙏.
 
Back
Top Bottom