tuwachambue kidogo
KASIM MAJALIWA
W/M kiongozi wa kazi/mtendaji mkuu wa kazi zote za serikali, anayo mammlaka ya kuteua na kutengua Kwa ngazi ya serikal za mitaa, anauwezo wa kutoa maagizo, ni mkono wa kuume wa Rais, kimsingi ndyo taswara ya utendaji, Kwa haiba yake anamipaka japo ni kiongozi mzuri, kunawakati(Kwa hyu Rais wa Sasa) anaogopa kucheza rafu, japo anaweeza, akipewa mikoba anaweza kutuvusha nampa 70%
PHILIPO MPANGO
kiutendaji ni M/R, Kwa washifa wake Hana meno popote maana ni kiongozi anaehusika na mambo ya Muungano na mazingira, ni mtu ambae anafanya kazi kwa kumwakilisha Madam president, Kwa haiba yake si mtendaji mkuu haswa na hawezi kunyambua mambo mengi si mzuri kwenye kuchukua Uamuzi
anauwezo wa kufanya kazi chini ya mtu mwingine ila si kuwa mwongoza maono, Kwa nchi kama za kiafrika hatujakuwa na mifumo ya kuongozwa Kwa aina hyo ya upole na full democrats kuna mahari lazima tupitishwa Kwa lazima ili maendeleo yaonekane.
LISU TUNDU
ni mwanaharakati zaidi ni watu wanajua kujenga hoja haswaaa na anauwiano sahihi na mifumo ya serikali tatzo lake ni kugeuka geuka na kubadilishwa, akiwa na tatzo ukamsaidia tatzo lake atakuwa rafk na huenda akamuumiza mtu mwingine ili akupe fever, ni mwepesi kuwa na hasira, hawezi kusamehe na kuvumilia mambo, kiujumla friji haligandishi,
Kwa upande wake anaweza kuwa kiongozi mzuri ila akiwa chini ya watu nguli ambao watamshep vyema kabla ya kuwa mwamzi Moja Kwa Moja.
GWAJI BOY
ni haiba ya watu wanaoitwa sanguine, wanaushawishi mkubwa Sana , wanajua kupangilia vitu, wanaweza kuupanga uongo ukawa ukwel, na ukwel ukawa uongo, ni aina ya mtu ambae ni talented kwel kwel Kwa kuongea, ila linapokuja swala la utendaji ni 20%au chini kabisa haswa yale mambo ya msingi, kiujumla ndye mtu pekee ambae msimamo wake hutegemea na Upepo ulivyo, ila siasa anaiweza vizri na dini pia, ukimkuta mtu anaweza vyote hvyo hyo mtu si wa kawaida
hawezi kuwa na sifa ya kuongoza nchi maana anapungukiwa na utashi wa maamuzi na kuongoza watu.
itoshe kusema wote hao wanamapungufu ila walao KMK anaweza akipewa kijiti,
bandiko lako pamoja na michango ya wanajukwaa yanatoa picha walao kidgo kuwa kizimkazi hapana asbh hii inamaana kuwa safri imeishia hapo.. kama ndvyo Upepo wa kusini na kaskazin masharki unanyatia Sana,
B
Sent using
Jamii Forums mobile app