Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Hii Nchi ili iendelee inahitaji mtu anayelewa how the government works both internally & internationally kuna ma gap mengi sana kiutendaji ndani ya Nchi.

mtu pekee ambaye anaweza akawa na ufanisi katika kazi hii ni ambaye alisha wahi kuwa mtumishi wa umma Katika Wizara za kisekta -lakini hawa wanaotoka sijui kwenye ualimu au chama it will take years.
ADr.Mpango anaweza akafaya kitu,ingawa hana hulka ya ukali,so bado utakuwa unamwaga maji Baharini.
 
Mpango anafaa sana,kuna mwingine hujamuweka kwenye list ila ni president material kabisa
Huyo mwingine, miguu yake midogo,

Asubiri akikua. Natania lakn😀

Mchango wako unaheshimiwa.
 
Mpango Hana hulka ya ukali?

Muulize Mwigu au Mwenezi wa CCM!!
 
Wewe lazima utakuwa umetumwa na Gwajima tu. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta list ya aina hii. Mpango au Majaliwa ni viongozi wa juu ktk serikali iliyopo, kuna lipi jipya walilonalo litakaloivusha nchi?
 
Hapo sijaona ni mmoja tu anayeweza kuvaa viatu hivyo naye ni PAUP MAKONDA
 
Kumezuka threads za kuwalinganisha wanasiasa waliopo na mwendazake na wenye traits za kufanana nae wanaonekana Bora🤔🤔🤔Bahima waheed
 


Kuna sababu gani za viatu vya kikatili vya Magufuli kuvaliwa? Wa Tanzania ni watu wa hovyo sana.
 
Wewe lazima utakuwa umetumwa na Gwajima tu. Katika hali ya kawaida huwezi kuleta list ya aina hii. Mpango au Majaliwa ni viongozi wa juu ktk serikali iliyopo, kuna lipi jipya walilonalo litakaloivusha nchi?
Sijatumwa na yeyote.

Yaani nitumwe na watu 4 tofauti?

Tundu Lissu hujamwona hapo naye kanituma?
 
Philip Mpango hafai, hii nchi haitaki kuongozwa na watu wa namna yake, ni mpole mno.

LISSU ni mwanaharakati, hafai kuwa raisi.

GWAJIMA hafai hata kidogo, kwanza umetumia vigezo gani kumuweka hapo?

KASSIM✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…