- Thread starter
- #321
Historia inasemaje kuhusu Kiranja mkuu Kwa nafasi hii?Kadiri ulivyozidi kuandika ulianza kukosea
Only 1
Ngoja tuone, labda Yeye atatoboa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia inasemaje kuhusu Kiranja mkuu Kwa nafasi hii?Kadiri ulivyozidi kuandika ulianza kukosea
Only 1
Mbowe jambazi mwenzio sioLissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.
Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili, busara na asiye na ghadhabu. Kwenye uongozi tofauti ya Lissu na Magufuli ni ndogo sana.
Kama CHADEMA inaweza kutoa kiongozi mzuri basi ni Mbowe anazo qualities zote. Lakini ni mfanyabiashara. Atatumia fursa zote kujitajirisha kama anavyofanya na fedha na raslimali za chama. Wakishindwa basi John Mnyika
Ni ngumu ila walau ndio mtu anaweza kuaminika na wananchiHistoria inasemaje kuhusu Kiranja mkuu Kwa nafasi hii?
Ngoja tuone, labda Yeye atatoboa.
Hivyo viatu anvyo visema ni LaizonMawazo Yako yanaheshimiwa,
Ingawa tangu Nchi kupata uhuru, hajawahi kufanikiwa PM yeyote kukikalia KITI hicho!!
Viatu gani mkuu unavyo visema ni raizoni au.Kama unamaanisha utendaji wa kazi basi umesahau kumuolozesha Rais wetu Samia.Kwa sababu utendaji wake ni bora kuliko huyo Magufuli. Mama Samia kaichukua Nchi ikiwa katika kipindi kigumu mno, lakini amepambana mpaka kuifikisha hapa ni jambo la kumpongeza Rais wetu Saizi hatusikii tena TRA kuwaonea wafanyabiashara,Hamna tena msemo wa Watu wasiojulikana, Miradi yote iliyoachiwa hakuna uliokwama,ajira kwa vijana zimefunguliwa,nyongeza za Mishahara kwa wafanyakazi zimeongezeka,wafanyakazi kupandishwa vyeo, Uchumi wa Nchi umeongezeka, Viongozi wa upinzani hawaishi kwa hofu tena. Sasa hivyo viatu unavyo visema ni vya namna gani.Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Sifa hizo 4 ndizo zilitafuta watu hao,Hivyo viatu anvyo visema ni Laizon
Viatu gani mkuu unavyo visema ni raizoni au.Kama unamaanisha utendaji wa kazi basi umesahau kumuolozesha Rais wetu Samia.Kwa sababu utendaji wake ni bora kuliko huyo Magufuli. Mama Samia kaichukua Nchi ikiwa katika kipindi kigumu mno, lakini amepambana mpaka kuifikisha hapa ni jambo la kumpongeza Rais wetu Saizi hatusikii tena TRA kuwaonea wafanyabiashara,Hamna tena msemo wa Watu wasiojulikana, Miradi yote iliyoachiwa hakuna uliokwama,ajira kwa vijana zimefunguliwa,nyongeza za Mishahara kwa wafanyakazi zimeongezeka,wafanyakazi kupandishwa vyeo, Uchumi wa Nchi umeongezeka, Viongozi wa upinzani hawaishi kwa hofu tena. Sasa hivyo viatu unavyo visema ni vya namna gani.
Kwa kuwa Pana ugumu kama ulivyokiri, at least ungekuja na machaguo mawili Si Moja pekee.Ni ngumu ila walau ndio mtu anaweza kuaminika na wananchi
Kassim yupo Vizuri sana kwenye ufwatiliaji na Tanzania inahitaji mtu wa hivyo
Hiyo kiatu ni raizoni au sendeu la kimasai!! Kuna watu wanawaza kama Bata vichwani vyao? Kwa kipi alichoifanyia nchi mpaka tutafute wavaa masendeu yake?? Ifike hatua tuheshimiane ohooooSalaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Mchango wako umepokelewa.HHiy
Hiyo kiatu ni raizoni au sendeu la kimasai!! Kuna watu wanawaza kama Bata vichwani vyao? Kwa kipi alichoifanyia nchi mpaka tutafute wavaa masendeu yake?? Ifike hatua tuheshimiane ohoooo
Kwa hiyo unatumika kwa wanaume wenzio siyo? Mtu huandika kile alichokizoea. Hili jukwaa siyo la mashoga, toka hapa nenda chit-chatYeye Kafia madarakani wewe utafikia kwenye kiuno Cha mwaume mwenzio
Nyie wapumbavu amjawahi fiwa na wazazi? Mnadhani kifo ni hukumu?
Atakua jamaa alikutoa marinda hapo ujenzi unalialia
Chaguo la Pili ni Natural sitaki kuligusiaKwa kuwa Pana ugumu kama ulivyokiri, at least ungekuja na machaguo mawili Si Moja pekee.
Kwa sifa gani ambazo anazo sasaKwani huwapendi maaskofu?
Jadili sifa, usishanbulie personality.
Lukuvi.Salaam, Shalom!!
Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.
Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,
1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.
2. UZALENDO.
3. UCHAPAKAZI.
4. MAONO/VISION.
Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.
1. KASSIM MAJALIWA
2. PHILIP MPANGO.
3. TUNDU ANTIPAS LISSU.
4. JOSEPHAT GWAJIMA.
Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.
Karibuni🙏
Hizo 4 tajwa hapo juuKwa sifa gani ambazo anazo sasa
Too lateLukuvi.
Hajasahaulika,Umemsahau Mh Paul Makonda hapo
Gwajima TAPELI tu anayetumia udhaifu wa watanzania wenye imani nyepesi. Anasema yeye ni askofu wa ufufuo na uzima, ila akashindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe.