Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Lissu anapaswa kuwa Waziri Mkuu wa Rais fulani lakini kwa nafasi ya Urais HAPANA. Lissu hawezi kuwa Rais. Lissu ni mtu tu wa kutumwa na kutekeleza. Nina ushahidi wa kauli zake nyingi kabla hajapigwa risasi na baada ya kupigwa risasi.

Urais unahitaji mtu mwenye utulivu wa akili, busara na asiye na ghadhabu. Kwenye uongozi tofauti ya Lissu na Magufuli ni ndogo sana.

Kama CHADEMA inaweza kutoa kiongozi mzuri basi ni Mbowe anazo qualities zote. Lakini ni mfanyabiashara. Atatumia fursa zote kujitajirisha kama anavyofanya na fedha na raslimali za chama. Wakishindwa basi John Mnyika
Mbowe jambazi mwenzio sio
 
Mawazo Yako yanaheshimiwa,

Ingawa tangu Nchi kupata uhuru, hajawahi kufanikiwa PM yeyote kukikalia KITI hicho!!
Hivyo viatu anvyo visema ni Laizon
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Viatu gani mkuu unavyo visema ni raizoni au.Kama unamaanisha utendaji wa kazi basi umesahau kumuolozesha Rais wetu Samia.Kwa sababu utendaji wake ni bora kuliko huyo Magufuli. Mama Samia kaichukua Nchi ikiwa katika kipindi kigumu mno, lakini amepambana mpaka kuifikisha hapa ni jambo la kumpongeza Rais wetu Saizi hatusikii tena TRA kuwaonea wafanyabiashara,Hamna tena msemo wa Watu wasiojulikana, Miradi yote iliyoachiwa hakuna uliokwama,ajira kwa vijana zimefunguliwa,nyongeza za Mishahara kwa wafanyakazi zimeongezeka,wafanyakazi kupandishwa vyeo, Uchumi wa Nchi umeongezeka, Viongozi wa upinzani hawaishi kwa hofu tena. Sasa hivyo viatu unavyo visema ni vya namna gani.
 
Sifa hizo 4 ndizo zilitafuta watu hao,

Unayemsemea, amewahi kukiri kuwa viatu vya Magu ni vikubwa mno kwake,

Kwann wewe u take avivae ilhali Yeye kadai haviwezi?

Kitu kingine, Urais una ukomo, hivyo ni LAZIMA tujiandae na yajayo baada yake.
 
Ni ngumu ila walau ndio mtu anaweza kuaminika na wananchi

Kassim yupo Vizuri sana kwenye ufwatiliaji na Tanzania inahitaji mtu wa hivyo
Kwa kuwa Pana ugumu kama ulivyokiri, at least ungekuja na machaguo mawili Si Moja pekee.
 
HHiy
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Hiyo kiatu ni raizoni au sendeu la kimasai!! Kuna watu wanawaza kama Bata vichwani vyao? Kwa kipi alichoifanyia nchi mpaka tutafute wavaa masendeu yake?? Ifike hatua tuheshimiane ohoooo
 
Mchango wako umepokelewa.
 
Yeye Kafia madarakani wewe utafikia kwenye kiuno Cha mwaume mwenzio

Nyie wapumbavu amjawahi fiwa na wazazi? Mnadhani kifo ni hukumu?

Atakua jamaa alikutoa marinda hapo ujenzi unalialia
Kwa hiyo unatumika kwa wanaume wenzio siyo? Mtu huandika kile alichokizoea. Hili jukwaa siyo la mashoga, toka hapa nenda chit-chat
 
Kwa kuwa Pana ugumu kama ulivyokiri, at least ungekuja na machaguo mawili Si Moja pekee.
Chaguo la Pili ni Natural sitaki kuligusia

Ila Kundi la Vijana

Bashungwa
Awesome
Kihenzile

Wakitunzwa mmoja atapenya kukalia kiti
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Lukuvi.
 
Gwajima TAPELI tu anayetumia udhaifu wa watanzania wenye imani nyepesi. Anasema yeye ni askofu wa ufufuo na uzima, ila akashindwa kumfufua Magufuli aliyempa ubunge wa Kawe.

Ufufuo wa kiroho bwana
 
Back
Top Bottom