Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Namba 4 ondoa kabisa, ogopa tapeli!
 
mipango na kwajina ni scam, WALAU MAKONDA JAPO UKWEL MCHUNGU
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Naibu Waziri Mkuu
 
unataka kusema ni mchumia tumbo, ? nu navo muona akipewa nyazifaa atawageuka wenzie na kuwa kama mwendazake
Nchi hii ni tegemeo la mataifa mengi katika mengi.

Si sawa kulinganisha Nabii Magu na Kijana, hatoshi.
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Kuna mpango wa kupotosha watu. Hapo ni majaliwa na mpango tu wenye sifa za kimagufuli. Lissu ni takataka kibaraka wa uliberali wa nchi za magharini. Gwajima ni mropokaji na tapeli wa kidini. Wananchi wa tanzania wana kiu kubwa ya uongozi wa kimagufuli na wahuni wote wanajua. Kwa hivyo umma wa wananchi wawe macho wasije kuwekewa mapandikizi.
 
Kuna mpango wa kuposha watu. Hapo ni majaliwa tu na mpango tu wenye sifa za kimagufuli. Lissu ni takataka na gwajima ni mropokaji na tapeli wa kidini. Wananchi wa tanzania wana kiu kubwa ya uongozi wa kimagufuli na wahuni wote wanajua. Kwa hivyo umma wa wananchi wawe macho wasije kuwekewa mapandikizi.
Maoni Yako yaheshimiwe, ndomana wakawepo wanne Ili aje mmoja.

Namba tatu yupo kimkakati zaidi.
 
Salaam, Shalom!!

Nimefanya Utafiti mdogo na kufanikiwa kupata kujua size ya viatu vya mzalendo na mchapakazi Magufuli.

Viatu hivyo vimenakshiwa na sifa ZIFUATAZO,

1. UTHUBUTU& MSIMAMO THABITI.

2. UZALENDO.

3. UCHAPAKAZI.

4. MAONO/VISION.

Wafuatao, Wana sifa hizo hapo juu ingawa Si zote, lakini angalau wanaweza kuvivaa viatu hivyo na kuongoza njia.

1. KASSIM MAJALIWA

2. PHILIP MPANGO.

3. TUNDU ANTIPAS LISSU.

4. JOSEPHAT GWAJIMA.

Na Kwa uchache, mmoja kati ya hao, atapenya katikati na kutuongoza kufika Nchi ya AHADI kuanzia mwaka 2020V.....

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿.

Karibuni🙏
Mawazo yangu,namba mbili ningeifanya moja,na namba nne ningeifanya mbili,then tatu na ya kwanza nne.
ni mawazo yangu lakini.
 
Back
Top Bottom