Poultry Sayuni
Senior Member
- Sep 6, 2011
- 125
- 36
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera sana wakuu ....ila nina swali dogo ambalo nadhani ni muhimu kwa mtu yeyote anayetaka kuingia kwenye fani hii. Je mnatoa mafunzo kidogo kwa mjasiriamali anayetaka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji? bila shaka huyu mtu atanunua products zenu kama mpo vizuri.
shukrani
Mkuu una aina ya kuchi kuchi....!
Vipi mayai hamnunui?
Hapana mkuu, ni mbegu gani uliyonayo
Amina mkuu. Biła shaka nitakurushia picha upate kuona
jamani kuna anaefahamu dawa ya kuangamiza viroboto kwa kuku?
nimejaribu akheri powder lakini haifanyi kazi.
Washikadau,
Makala muhimu ya UFUGAJI wa KUKU kwa maendeleo binafsi na kwa taifa. Ni wakati wa kuthubutu na kuchukua hatua.
Karibu
Be blessed. Nina shida sana na sample hii.. kwa kuwa najiandaa kuanza kutotolesha, lakini pia nakosa nafasi ya kuwatenga kuku wagonjwa.