Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

Mkuu nilichukua vifaranga kwako,wanaendelea vizuri japo huyo mmoja ana mafua,ushauri tafadhali.

Pole mkuu, Nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Inabidi dawa uwape wote. Kama sio makali unaweza tumia fluban otherwise tylodox ni nzuri kwa mafua makali.
 
Poutry Sayuni, asante kwa topic hii yenye manufaa kwa jamii. Keep it up!
 
Hivi kuna uwezekano wa kupata funding km unataka kuwa na project kubwa ya poultry?
 
Back
Top Bottom