Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

Usijali mkuu, nitawasilisha mapema tu nikiipata.

pH 7, muhimu katika banda la kuku ni kwamba upepo ukingia upate pa kutokea pia, madirisha ya ukubwa wa kutosha ni muhimu. Bila kusahau kwamba kuku 3-4 kwa sq 1
 
Washikadau,

Makala muhimu ya UFUGAJI wa KUKU kwa maendeleo binafsi na kwa taifa. Ni wakati wa kuthubutu na kuchukua hatua.
Karibu

mkuu kwenye hiyo pdf umeandika kuku wanapotimiza miezi miwili wapewe chanjo ya ndui kwa njia ya sindano,swali langu ni je,naweza kuwachoma mwenyewe au lazima daktari wa mifugo,na wanachomwa sehem gani kwenye mwili?
 
Mkuu unaweza kuchoma mwenyewe ikiwa unajua, na huwa inachomwa sehemu ya kwenye bawa.
 
Mimi mgeni humu ila nimeguswa sana na ufugaji wa kuku wa kienyeji . Ahsanteni.
 
Nashukuru sana kwa ukarimu wenu' tuko pamoja Ahsanteni sana.
 
071726913 wanaotaka kujiunga na whatsapp group tumia hiyo namba
 
Habari mie ni mgeni humu ila nimevutiwa sana na elimu, sasa mimi niko Kasulu Kigoma nawezaje pata chakula cha vifaranga?
 
mkuu nahitaji kuku wa wiki 16.

wiki 16 ina maana miezi minne? Kama uko Dar hujapata. Kuna mwl mama nilimfundisha hatua kwa hatua anao weusi chotara anawapunguza amepata dharura. Wako kama 60. Ni pm kama unataka
 
wiki 16 ina maana miezi minne? Kama uko Dar hujapata. Kuna mwl mama nilimfundisha hatua kwa hatua anao weusi chotara anawapunguza amepata dharura. Wako kama 60. Ni pm kama unataka

nilikua natafuta wa kienyeji pure mama Joe,asante.
 
Jamani leo nimegundua mmoja wa vifaranga wangu wa wiki 7 ana mafua,nitumie dawa gani?
 
Back
Top Bottom