Poultry Sayuni
Senior Member
- Sep 6, 2011
- 125
- 36
- Thread starter
-
- #41
Usijali mkuu, nitawasilisha mapema tu nikiipata.
Washikadau,
Makala muhimu ya UFUGAJI wa KUKU kwa maendeleo binafsi na kwa taifa. Ni wakati wa kuthubutu na kuchukua hatua.
Karibu
mkuu kwenye hiyo pdf umeandika kuku wanapotimiza miezi miwili wapewe chanjo ya ndui kwa njia ya sindano,swali langu ni je,naweza kuwachoma mwenyewe au lazima daktari wa mifugo,na wanachomwa sehem gani kwenye mwili?
Mimi mgeni humu ila nimeguswa sana na ufugaji wa kuku wa kienyeji . Ahsanteni.
Unisamehe kwa kimya nilikuwa safari mpendwa ila kesho utapata au ni pm namba ya simu nikitumie kwa whatsup baadaye
071726913 wanaotaka kujiunga na whatsapp group tumia hiyo namba
mkuu nahitaji kuku wa wiki 16.
mkuu nahitaji kuku wa wiki 16.
wiki 16 ina maana miezi minne? Kama uko Dar hujapata. Kuna mwl mama nilimfundisha hatua kwa hatua anao weusi chotara anawapunguza amepata dharura. Wako kama 60. Ni pm kama unataka
washikadau,
makala muhimu ya ufugaji wa kuku kwa maendeleo binafsi na kwa taifa. Ni wakati wa kuthubutu na kuchukua hatua.
Karibu
nilikua natafuta wa kienyeji pure mama Joe,asante.
kienyeji pure kumpata anayeuza kazi. Wengi wanawafuga kwa matumizi ya familia si biashara. Ngoja baadae nitaku pm namba ya mtu anadai anauza vifaranga
ww ni mbaguzi wa kutupa elimu nliku pm hata hujarespond...
ntashukuru sana mama Joe.