Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Yaani wa kienyeji pure ni issue kupata. Ukikosa hao wa Ma Joe jaribu kutembelea masoko ya hapa dar unaweza kupata wa kuanzia.
Mkuu nilichukua vifaranga kwako,wanaendelea vizuri japo huyo mmoja ana mafua,ushauri tafadhali.
Pole mkuu, Nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Inabidi dawa uwape wote. Kama sio makali unaweza tumia fluban otherwise tylodox ni nzuri kwa mafua makali.
Mkuu unaweza kuchoma mwenyewe ikiwa unajua, na huwa inachomwa sehemu ya kwenye bawa.
Mkuu hiyo dawa inakuwa ktk vichupa viwili, kimoja ni unga unga na kingine ni maji, unachanganya vyote pamoja .Nachanganya na maji hiyo dawa ya ndui au?
Mkuu hiyo dawa inakuwa ktk vichupa viwili, kimoja ni unga unga na kingine ni maji, unachanganya vyote pamoja .
Je mko na office mwanza & bukoba ???
Asante mkuu, Ukija tuonane.Poutry Sayuni, asante kwa topic hii yenye manufaa kwa jamii. Keep it up!
Asante mkuu, Karibu sana Poultry SayuniUzi mzuri, i like it.
hongera sana mkuu kwa taarifa ya kimaendeleo
Asante mkuu, Tunamshukuru Mungu anayetuwezesha. Karibu sana
Kuchi wapo mkuu kama umeangalia vizuri utakuwa umeona picha
Hivi kuna uwezekano wa kupata funding km unataka kuwa na project kubwa ya poultry?
Poultry Sayuni samahani sana mkuu nakuomba unirushie picha ya kuku uliona katika mtandao wa Whatsaap 0766 66 00 03
Hongera sana kwa kushare nasi! Ubarikiwe!
sayuni