Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

English Mastiff(110kg), Saint Bernard(120kg), Caucasian ovcharka(80-100kg), Bully Kutta(64 – 95kg ), Kangal (50–66 kg)
#kwa ulinzi 1 caucasian ovcharka 2 Kangal 3 Bully Kutta 4 English Masfiff 5 Saint Bernard
 
ni kweli japo sio majayanti kama "Great dane"
mbwa mwenye umbo kubwa kwa kupanda juu ana mvuto sana japo kila mtu anavutiwa na aina flani.
Hii uliyoitaja inaonyesha ina miguvu sana
 
ni kweli japo sio majayanti kama "Great dane"
mbwa mwenye umbo kubwa kwa kupanda juu ana mvuto sana japo kila mtu anavutiwa na aina flani.
Hii uliyoitaja inaonyesha ina miguvu sana
tatizo la great dane na saint bernard ni kwa sababu sio territorial sana kama breed nyingine hapo...hii inafanya wasiwe chaguo zuri sana kama unahitaji mbwa kwa ajili ya ulinzi
 
Sema huyo mbwa ni wa "luxury" , ni kama kuongeza mtoto, maana hata mwizi akiingia ataishia kumchezeshea mkia na kumlamba tu. Mimi nawapendea rangi, akili na manyoya tu.
ni wazuri kwa macho mkuu
 
kitu kimepanda juu sana
 
Kuna mahali nimekuta huyu mbwa japo nimempiga picha kwa mbali. Ila najua kabisa kimuonekano ni German Shepherd crossbreed ila sijajua ni cross breed ya GS na mbwa gani. Ana mkia mrefu unaokaribia chini, manyoya kiasi na ana mdomo mrefu wa GS.

Kuna mtu anaweza jua ni cross gani?
 
huyu ni koko boss
 
Ndo maana nikasema najua sio pure. Huyu mbwa akitembea miguu ya nyuma inakuwa kama mifupi, japo sio exactly na huyo uliyetuma picha.

Pia ana kifua kipana na hapo ni mzazi. Ni kwakuwa sikupata wasaa wa kupiga picha ya karibu. Ila by the look anafanana na mbwa wa police exactly.

Na umbo lake ni kubwa hasa kifuani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mjamaaaaa umenichekeshaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…