Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah huyo anaweza kukutupa chini kwa kikumbo kimojaona huo uzito 50-82kg
View attachment 890182
ni kweli japo sio majayanti kama "Great dane"English Mastiff(110kg), Saint Bernard(120kg), Caucasian ovcharka(80-100kg), Bully Kutta(64 – 95kg ), Kangal (50–66 kg)
#kwa ulinzi 1 caucasian ovcharka 2 Kangal 3 Bully Kutta 4 English Masfiff 5 Saint Bernard
Vipi mkuu hupendi golden retreaver??daah hapo kwa upande wangu umenena
tatizo la great dane na saint bernard ni kwa sababu sio territorial sana kama breed nyingine hapo...hii inafanya wasiwe chaguo zuri sana kama unahitaji mbwa kwa ajili ya ulinzini kweli japo sio majayanti kama "Great dane"
mbwa mwenye umbo kubwa kwa kupanda juu ana mvuto sana japo kila mtu anavutiwa na aina flani.
Hii uliyoitaja inaonyesha ina miguvu sana
Sema huyo mbwa ni wa "luxury" , ni kama kuongeza mtoto, maana hata mwizi akiingia ataishia kumchezeshea mkia na kumlamba tu. Mimi nawapendea rangi, akili na manyoya tu.ni mzuri pia lkn simpendi kwa kumfuga, napenda maumbo makubwaView attachment 890398
Mimi sitaki kufunga mbwa wa mapambo asee. Itakuwa ni hasara kwangu tu.Sema huyo mbwa ni wa "luxury" , ni kama kuongeza mtoto, maana hata mwizi akiingia ataishia kumchezeshea mkia na kumlamba tu. Mimi nawapendea rangi, akili na manyoya tu.
Kuna mahali nimekuta huyu mbwa japo nimempiga picha kwa mbali. Ila najua kabisa kimuonekano ni German Shepherd crossbreed ila sijajua ni cross breed ya GS na mbwa gani. Ana mkia mrefu unaokaribia chini, manyoya kiasi na ana mdomo mrefu wa GS.
Kuna mtu anaweza jua ni cross gani?View attachment 891836
Ndo maana nikasema najua sio pure. Huyu mbwa akitembea miguu ya nyuma inakuwa kama mifupi, japo sio exactly na huyo uliyetuma picha.gs amekaa hiviView attachment 891841
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nina swali ndugu mimi uwezo wa kununua hao GS siko nao so nilikua na jirani yangu ana mbwa hawa wa kizungu ila sijui wanaitwaje akampa mimba kijibwa koko changu kikazaa vitoto viwili moja kati ya vitoto kimefanana sana na baba ake[emoji23][emoji23] swali langu huyu dogo mwenye mfanano na dingi ake nikimtafutia boy wa GS akazaa nae vijibwa vinaweza toka kama huyo gs??