Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Ngoja nitamsoma na kumcompare na dobermann
ona huo uzito 50-82kg
Screenshot_20181008-013552.jpeg
 
English Mastiff(110kg), Saint Bernard(120kg), Caucasian ovcharka(80-100kg), Bully Kutta(64 – 95kg ), Kangal (50–66 kg)
#kwa ulinzi 1 caucasian ovcharka 2 Kangal 3 Bully Kutta 4 English Masfiff 5 Saint Bernard
 
ni kweli japo sio majayanti kama "Great dane"
mbwa mwenye umbo kubwa kwa kupanda juu ana mvuto sana japo kila mtu anavutiwa na aina flani.
Hii uliyoitaja inaonyesha ina miguvu sana
 
ni kweli japo sio majayanti kama "Great dane"
mbwa mwenye umbo kubwa kwa kupanda juu ana mvuto sana japo kila mtu anavutiwa na aina flani.
Hii uliyoitaja inaonyesha ina miguvu sana
tatizo la great dane na saint bernard ni kwa sababu sio territorial sana kama breed nyingine hapo...hii inafanya wasiwe chaguo zuri sana kama unahitaji mbwa kwa ajili ya ulinzi
 
Sema huyo mbwa ni wa "luxury" , ni kama kuongeza mtoto, maana hata mwizi akiingia ataishia kumchezeshea mkia na kumlamba tu. Mimi nawapendea rangi, akili na manyoya tu.
ni wazuri kwa macho mkuu
 
kitu kimepanda juu sana
800px-Male_fawn_Boxer_undocked.jpeg
 
Kuna mahali nimekuta huyu mbwa japo nimempiga picha kwa mbali. Ila najua kabisa kimuonekano ni German Shepherd crossbreed ila sijajua ni cross breed ya GS na mbwa gani. Ana mkia mrefu unaokaribia chini, manyoya kiasi na ana mdomo mrefu wa GS.

Kuna mtu anaweza jua ni cross gani?
20181009_131017.jpeg
 
huyu ni koko boss
Kuna mahali nimekuta huyu mbwa japo nimempiga picha kwa mbali. Ila najua kabisa kimuonekano ni German Shepherd crossbreed ila sijajua ni cross breed ya GS na mbwa gani. Ana mkia mrefu unaokaribia chini, manyoya kiasi na ana mdomo mrefu wa GS.

Kuna mtu anaweza jua ni cross gani?View attachment 891836
 
Ndo maana nikasema najua sio pure. Huyu mbwa akitembea miguu ya nyuma inakuwa kama mifupi, japo sio exactly na huyo uliyetuma picha.

Pia ana kifua kipana na hapo ni mzazi. Ni kwakuwa sikupata wasaa wa kupiga picha ya karibu. Ila by the look anafanana na mbwa wa police exactly.

Na umbo lake ni kubwa hasa kifuani
 
Nina swali ndugu mimi uwezo wa kununua hao GS siko nao so nilikua na jirani yangu ana mbwa hawa wa kizungu ila sijui wanaitwaje akampa mimba kijibwa koko changu kikazaa vitoto viwili moja kati ya vitoto kimefanana sana na baba ake[emoji23][emoji23] swali langu huyu dogo mwenye mfanano na dingi ake nikimtafutia boy wa GS akazaa nae vijibwa vinaweza toka kama huyo gs??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mjamaaaaa umenichekeshaaaaa
 
Back
Top Bottom