Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

nimefiwa na mbwa wangu toka utotoni nimekaa nae miaka 12, naomba kwa mwenye mbwa anauza hasa GS ani dm ila pls msinipe bei zenu za watalii
Kwanza pole sana kwa kufiwa na Mbwa najua uchungu wake, mbwa ni moja ya wana familia kwakweli, upo dar au mkoa gani?
 
Mkuu Pitbull msikie tu pamoja na kwamba unaweza kumpa mafundisho mazuri na matunzo mema.

Siku akibadilika ndo utaelewa Pitbull yukoje hasa.

Ni kweli baadhi ya nchi duniani breed hii ya mbwa imepigwa stop kufuga.
 
Glad nimeuona huu uzi.
Recently nimeanza kufuga mbwa aina ya German shepherd (week ya 3 sasa) ana miezi nane lakini nina changamoto kadhaa.
1. Huyu mbwa alikua anafugwa yard so walikua wengi mno.
2. Baada ya kumchukua namuona muoga sana na hataki kutii amri (nina week naye mbili au tatu).
3. Sheria za kumlisha na aina za chakula sijui mwanzo nilimnunulia unga flani kama wa ulezi upo kwenye mifuko special nikaja nikamnunulia kama vikaranga ila naona hanenepi. Nampa chakula mara moja kwa siku na maji muda wote. Pia kuna muda narudi katafuna vyombo ashakunja mpaka sufuria. Kala madumu yani vurugu mechi ndani.
4. Anatoa mlio kama wa dubwi au mbwa mwitu habweki ile kukaza.
5. Anaogopa watu.
6. Kutembea mpaka nimburuze au kumpa kipondo.

Sasa wadau nishaurini jinsi ya kumlea huyu jamaa.
1. Chakula.
2. Namna ya kutii amri.
3. Kuwa mkali.
4. Matunzo yake mazuri.

Kuhusu kumpeleka training kwa sasa siwezi ukitegemea starehe za december na kipigo cha january siwezi peleka dog shule nikaacha dogo. Au kama kuna sehemu gharama nafuu nijulishwe for future use.
 
Attachments

  • gs.jpg
    58.7 KB · Views: 34
Huyo ni Mbwa mzuri sana kwakweli ni GSD Sable naomba unitafute nitakusaidia, nakuomba sana usikate tamaa atakaa sawa 0784 448120. call me
 
Huyo ni Mbwa mzuri sana kwakweli ni GSD Sable naomba unitafute nitakusaidia, nakuomba sana usikate tamaa atakaa sawa 0784 448120. call me
Unapatikana mkoa gani mkuu.nna gsd wa mwaka moja ni fala mno kushinda huyo na anapenda michezo mno utadhani amezaliwa jana vile! ananiboa mpaka kutaka kumgawa tu bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah nina changamoto kama yako yani mbwa anakimbia kimbia tu ndani, mwoga, habweki anatoa milio kama dumbwi au mbwa mwitu... Fala sana huyu mbwa anakula tu.
 
Mi nina mbwa wangu hapa home sijui wa aina gani? Nikiacha viatu nje nakuta mikanda yote yote imekatika,wanantia hasara kweli...wakija wageni aibu tupu....sijui niwafenyeje!
 
Usifanye maamuzi ukiwa na hasira.....Hilo ndilo somo kuu hapo....Kwani hata kama angekuwa mbwa amewaua au kuwala, bado Kwa kumuua asingewarudisha watoto.....alikosa uvumilivu kidogo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda unawafungia ndani huwapi mazozi, hiyo ni taarifa wanakupa kuwa kuna kitu hakiko sawa
Mi nina mbwa wangu hapa home sijui wa aina gani? Nikiacha viatu nje nakuta mikanda yote yote imekatika,wanantia hasara kweli...wakija wageni aibu tupu....sijui niwafenyeje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miaka ya nyuma kulikuwa na uzi flani wa Mbwa, michango yako ilionyesha wewe ni mtaalamu wa mbwa sana
Mkuu Pitbull msikie tu pamoja na kwamba unaweza kumpa mafundisho mazuri na matunzo mema.

Siku akibadilika ndo utaelewa Pitbull yukoje hasa.

Ni kweli baadhi ya nchi duniani breed hii ya mbwa imepigwa stop kufuga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…